Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kujitolea ni janja janja tu. Kuna watu wanajitolea lakini wanalipwa posho hadi laki 6 isiyo na makato. Sasa huo ni mshahara wa muajiriwaa graduate halmashauri. Anaejitolea kihalali ni mwalimu tu maana huwa hawapewi hata mia. Ila ukisikia MTU anajitolea TBS, TRA, TANROAD, TANESCO, BOT jua hiyo in connection.
TBS wanapiga interview na ni mwaka 1 tu. Unatakiwa uondoke.
 
Kujitolea ni janja janja tu. Kuna watu wanajitolea lakini wanalipwa posho hadi laki 6 isiyo na makato. Sasa huo ni mshahara wa muajiriwaa graduate halmashauri. Anaejitolea kihalali ni mwalimu tu maana huwa hawapewi hata mia. Ila ukisikia MTU anajitolea TBS, TRA, TANROAD, TANESCO, BOT jua hiyo in connection.
hawa jamaa wanamfumo mzuri.
 
Back
Top Bottom