Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh wadau mnaonekana mmechoshwa sana na huu mchakato wa placement, lakn mungu yupo tueendelee kumtumania yeye naamini one day yes.Noma sanaa mzee ila komaa tu uskate tamaa
Sorry mwamba mlengwa ni lupe TzDuh wadau mnaonekana mmechoshwa sana na huu mchakato wa placement, lakn mungu yupo tueendelee kumtumania yeye naamini one day yes.
Mwenyewe nimesanda kwakwelSorry mwamba mlengwa ni lupe Tz
Daah sio poa mwamba!Mwenyewe nimesanda kwakwel
Kiongozi gani au alisema hivyo kuihusu idara gan? imenipita hii.Ukiona Kiongozi wa Idara huko juu anasema wanaojitolea wanawafikiria!!!!!!
Unajiongeza na wewe anamaanisha nn
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
N/Waziri wa Utumishi tena Bungeni Ninanukuu"Tutaongeza kifungu cha sheria kwa wanaojitolea"......Kiongozi gani au alisema hivyo kuihusu idara gan? imenipita hii.
TBS wanapiga interview na ni mwaka 1 tu. Unatakiwa uondoke.Kujitolea ni janja janja tu. Kuna watu wanajitolea lakini wanalipwa posho hadi laki 6 isiyo na makato. Sasa huo ni mshahara wa muajiriwaa graduate halmashauri. Anaejitolea kihalali ni mwalimu tu maana huwa hawapewi hata mia. Ila ukisikia MTU anajitolea TBS, TRA, TANROAD, TANESCO, BOT jua hiyo in connection.
hawa jamaa wanamfumo mzuri.Kujitolea ni janja janja tu. Kuna watu wanajitolea lakini wanalipwa posho hadi laki 6 isiyo na makato. Sasa huo ni mshahara wa muajiriwaa graduate halmashauri. Anaejitolea kihalali ni mwalimu tu maana huwa hawapewi hata mia. Ila ukisikia MTU anajitolea TBS, TRA, TANROAD, TANESCO, BOT jua hiyo in connection.
tbs👆hawa jamaa wanamfumo mzuri.
Ishafutwaga hiyo kitambo siku hizi hakuna huo utaratibuTBS wanapiga interview na ni mwaka 1 tu. Unatakiwa uondoke.
Taesa ndo wanapelekaga Volunteer kwenye hizi taasisi za umma za serikaliIshafutwaga hiyo kitambo siku hizi hakuna huo utaratibu
Eeh kumekucha kumekucha, dah hii Kali mkuuNasikia tra wanaita watu uko via email
Duhh kwahiyo ambao hutajapata email mpaka sasa ndio basi tenaaaNasikia tra wanaita watu uko via email
liniMajibu ya nafasi mlizoomba TRA angalieni kwenye wmail zenu wametupa Update
Asubuhi ya leo