Black Beast
Senior Member
- Aug 6, 2019
- 127
- 487
Nashukuru sana captainHongera sana mkuu hakika Mungu ni mwema, ukawe mtumishi mwadilifu na mchapa kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana captainHongera sana mkuu hakika Mungu ni mwema, ukawe mtumishi mwadilifu na mchapa kazi
Ahsante sana mpambanajihongera
mtaalamu ukawe mtumishi mwemaa
Ahsante kiongoziHongera Sana mkuu
Hapa tatizo ni nani.....Kuna halmashauri moja hiv iliwapigia siku vijana wqkaripot mwez wa nne,kabla hata Psrs hawajatoa majina,vijana wakafata barua zao na kwenda kuripot,barua ikiwa ya mwezi wa nne, leo hao vijana wameshachukua mshahara wa tatu Sasa,Leo ndo PDF Yao imetoka wameitwa kazin,[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu haya mambo tunaumia Tu moyoni hakuna wa kumuelezea, tuamini Tu na Sisi Ipo siku yetu tutatoa ushuhuda humu mkuuYamenikuta mkuu mpk sas hiv maji naita mma[emoji848]ila nilikuw nakuuliz tuu kwa usalama wako
Amen mkuu....Mkuu haya mambo tunaumia Tu moyoni hakuna wa kumuelezea, tuamini Tu na Sisi Ipo siku yetu tutatoa ushuhuda humu mkuu
Ninanukuu...Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuanzia tarehe 27 Mei 2023Hivi usaili wa TRA utakuwa ni written kisha oral au oral tu?
[emoji120][emoji1666]Mkuu haya mambo tunaumia Tu moyoni hakuna wa kumuelezea, tuamini Tu na Sisi Ipo siku yetu tutatoa ushuhuda humu mkuu
Mh mbona mivurugano hiviKuna halmashauri moja hiv iliwapigia siku vijana wqkaripot mwez wa nne,kabla hata Psrs hawajatoa majina,vijana wakafata barua zao na kwenda kuripot,barua ikiwa ya mwezi wa nne, leo hao vijana wameshachukua mshahara wa tatu Sasa,Leo ndo PDF Yao imetoka wameitwa kazin,[emoji16][emoji16][emoji16]
Oh hongera sana aiseeeHatimaye Nimelamba Asali ndugu zangu nawashukuru team ya hapa ndani kwa namna tulivyopeana moyo na kufarijiana na mimi niwape moyo kuwa it is just a matter of time. Nimekaa mtaani tangu 2014 mpaka sasa.
Mapambano yaendelee
Hongera sana mkuuWakati wa Mungu ni wakati sahihi,
Nami nlikua mmoja wa wasioamini katika Database, Hatimae database hio imenitoa baada ya miezi zaidi ya 10 tangu nifanye Oral,
Tuamini katika bidii zetu na zaidi katika wakati wa Mungu
Ngj tukae mkao wa kuskiaKwa izi za TRA tutegemee kusikia mengi wale wa kujitolea, internship hao tayari washasign mikataba ya kudumu, bado wale tumetumwa na mjamba, sijui dada kaniagiza hao nao watalamba asali bila pingamizi, sasa tusubirie izo gombania goli nawahakikishieni wataziuza nahakika pesa zitatembea, afadhali ya PSRS
Ahsante sanaOh hongera sana aiseee
Hongera sana,kada gani uliomba?Hatimaye Nimelamba Asali ndugu zangu nawashukuru team ya hapa ndani kwa namna tulivyopeana moyo na kufarijiana na mimi niwape moyo kuwa it is just a matter of time. Nimekaa mtaani tangu 2014 mpaka sasa.
Mapambano yaendelee
Sasa hivi asali ni kupata kazi haijalishi umepata taasisi gani maana maisha ya kusota nyumbani bila ya kazi ni magumu kweliMwanzoni vijana walipokuwa wanasema ASALI nilikuwa najua wanaongelea taasisi nono, sasa hivi hata halmashauri wanaita asali. Maana hiyo hata ualimu nayo ni asali. Tofauti ya mwalimu na afisa ustawi hakuna
bado jamaa angu. Pdf ndefu lakini jina silioni.Mkuu vp hujachomok
bado jamaa angu. Pdf ndefu lakini jina silioni.
hakika ngoja tuendelee kubebelea SUBIRAPole mkuu wakati utafika.