Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna halmashauri moja hiv iliwapigia siku vijana wqkaripot mwez wa nne,kabla hata Psrs hawajatoa majina,vijana wakafata barua zao na kwenda kuripot,barua ikiwa ya mwezi wa nne, leo hao vijana wameshachukua mshahara wa tatu Sasa,Leo ndo PDF Yao imetoka wameitwa kazin,[emoji16][emoji16][emoji16]
Hapa tatizo ni nani.....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kuna halmashauri moja hiv iliwapigia siku vijana wqkaripot mwez wa nne,kabla hata Psrs hawajatoa majina,vijana wakafata barua zao na kwenda kuripot,barua ikiwa ya mwezi wa nne, leo hao vijana wameshachukua mshahara wa tatu Sasa,Leo ndo PDF Yao imetoka wameitwa kazin,[emoji16][emoji16][emoji16]
Mh mbona mivurugano hivi
 
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi,

Nami nlikua mmoja wa wasioamini katika Database, Hatimae database hio imenitoa baada ya miezi zaidi ya 10 tangu nifanye Oral,

Tuamini katika bidii zetu na zaidi katika wakati wa Mungu
Hongera sana mkuu
 
Kwa izi za TRA tutegemee kusikia mengi wale wa kujitolea, internship hao tayari washasign mikataba ya kudumu, bado wale tumetumwa na mjamba, sijui dada kaniagiza hao nao watalamba asali bila pingamizi, sasa tusubirie izo gombania goli nawahakikishieni wataziuza nahakika pesa zitatembea, afadhali ya PSRS
Ngj tukae mkao wa kuskia
 
Hatimaye Nimelamba Asali ndugu zangu nawashukuru team ya hapa ndani kwa namna tulivyopeana moyo na kufarijiana na mimi niwape moyo kuwa it is just a matter of time. Nimekaa mtaani tangu 2014 mpaka sasa.

Mapambano yaendelee
Hongera sana,kada gani uliomba?
 
Mwanzoni vijana walipokuwa wanasema ASALI nilikuwa najua wanaongelea taasisi nono, sasa hivi hata halmashauri wanaita asali. Maana hiyo hata ualimu nayo ni asali. Tofauti ya mwalimu na afisa ustawi hakuna
Sasa hivi asali ni kupata kazi haijalishi umepata taasisi gani maana maisha ya kusota nyumbani bila ya kazi ni magumu kweli

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom