Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

...........Mbona kama mnachanganya vitu au mimi ndio sielewi, ukishakuwa not selected maana yake huingii oral sasa pdf utatokeaje?

au kuna wanaokuwa na status ya not selected baada ya oral?
Mbona mimi tangu nifanye oral mwezi wa pili status haijabadilika? Ina maana gani hii?
IMG_20230926_131201.jpg
 
Back
Top Bottom