Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu awasimamie PSRS....Hawataki mazoea leo zamu ya TBC.
Mungu ni mwema tutavuka salamaa.Mungu awasimamie PSRS....
Wapo kwenye kipindi kigumu sanaa...
Wafute ukomo wa Database yao.....Wafanye kama TAMISEMI ....Mungu ni mwema tutavuka salamaa.
Ujakosea. intv ni kifupi cha interview.Nadhani ana maanisha alifanya interview saa 8 mchana saa 11 jioni akaitwa na afisa utumishi kwa ajili ya kusaini mkataba
Mpaka kielewekeHawataki mazoea leo zamu ya TBC.
Kama umelamba sioUjakosea. intv ni kifupi cha interview.
Najiulizaga je nisingeend nisingepata kaz na izi international NGO connection kaz zao ni fair.
Ohooo mambo ni [emoji91]Hawataki mazoea leo zamu ya TBC.
Mbona mimi tangu nifanye oral mwezi wa pili status haijabadilika? Ina maana gani hii?...........Mbona kama mnachanganya vitu au mimi ndio sielewi, ukishakuwa not selected maana yake huingii oral sasa pdf utatokeaje?
au kuna wanaokuwa na status ya not selected baada ya oral?
Naona PSRS wanapambana soon ma jobless mtaanza kupewa sababu kwann hamjaitwa Kwa usaili au kwann hujaitwa kazin...Hawataki mazoea leo zamu ya TBC.
Hahaha watusimamie sisi jobless au wao mkuuMungu awasimamie PSRS....
Wapo kwenye kipindi kigumu sanaa...
Mungu atusimamie sis ndo tuna wakt mgumu wao wala hawana wanalopoteza mkuuHahaha watusimamie sisi jobless au wao mkuu
Hiyo ni kwenye app au web?Mbona mimi tangu nifanye oral mwezi wa pili status haijabadilika? Ina maana gani hii?
View attachment 2762863
Kama mtoa haki tusipomuombea mbele za Bwana kwenye mapito yake ya utekelezaji majukumu ya ajira...watoto wa hali ya chini tutatokaje.....Mungu atusimamie sis ndo tuna wakt mgumu wao wala hawana wanalopoteza mkuu
Maana yake upo databaseMbona mimi tangu nifanye oral mwezi wa pili status haijabadilika? Ina maana gani hii?
View attachment 2762863
Hiyo ni Web ukishafanikiwa kuingia Oral haibadiliki. Hapo cheki kwenye AppMbona mimi tangu nifanye oral mwezi wa pili status haijabadilika? Ina maana gani hii?
View attachment 2762863
CDOs hongeren sana..Kuna PDF huko limetoka sasa hivi mchana