Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wadau laki 1 inatosha nauli kulala kula siku 3, natokea DSM naenda Dodoma kwenye usaili ndio mara ya kwanza kukanyaga Dodoma.
Kuna gesti nzuri tu sh 10k, ila sasa kipengele Dom huwa zinajaa mapema, hivyo kwa hiyo ukiipata 30k siku 3 unatoboa, na msosi ni 4500 (1500 msosi) mara 3 = 13500, hiyo inayobaki maji na nauli ya kukufikishia venue

Hivyo kwa 100k unatoboa Fresh
 
Wakuu kwema?? Hii imekaaje wakuu tumepiga written leo utumishi lakini kwenye account tumeandikiwa not selected wakati PDF la marks hawajatoa hii imekaaje asee na paper kiukweli ilikuwa normal tu na oral ni baadae leo samoja asubuhi hii imekaaje au Kuna mtu humu alishakumbana na hii Hali kwanini wasitoe PDF la marks???????
Baba Jeni bye bye.
Ongeza received mkuu
 
Atakuita akimaliza taratibu za ajira yako.

Kuwa na subira, wewe tayari ni mtumishi wa umma. Wengine walipokea hadi mishahara ilihali wakiwa bado wapo nyumbani baada ya kuambiwa watapigiwa simu
Ahsante kwa sisi mishahara sidhani maana hatukuacha account number hatukuombwa kabisa au kuna utaratibu mwingine kamanda mwifwa.
 
Wakuu kwema?? Hii imekaaje wakuu tumepiga written leo utumishi lakini kwenye account tumeandikiwa not selected wakati PDF la marks hawajatoa hii imekaaje asee na paper kiukweli ilikuwa normal tu na oral ni baadae leo samoja asubuhi hii imekaaje au Kuna mtu humu alishakumbana na hii Hali kwanini wasitoe PDF la marks???????
Hii kawaida mzee we mida mida ingia kwenye ajira.go.tz utaona mkeka, na ulichovuna sometimes huchelewa lakini lazima watapandisha tu
 
Ahsante kwa sisi mishahara sidhani maana hatukuacha account number hatukuombwa kabisa au kuna utaratibu mwingine kamanda mwifwa.
Yes ni kweli ni mpaka ujaze account, Mara ya kwanza kuripoti niliacha barua na nikapewa fomu za kujaza ikiwemo taarifa za benki, nilivyorudi kuripoti mara ya pili baada ya kuitwa tena nikasaini tu mkataba na kumalizia vipengele vingine

Ila mpunga uliingia mwezi huo huo wa kwanza, so it depends na taasisi yako ila siku masuala ya kidijitali yamerahisisha mifumo, ni kawaida kupata mpunga wako mwezi wa kwanza ila wale wa kale ilikuwa sio poa😂, kuna raia alikaa miezi minne kabla ya kuingiziwa mshahara, sasa pata picha msoto wake
 
Yes ni kweli ni mpaka ujaze account, Mara ya kwanza kuripoti niliacha barua na nikapewa fomu za kujaza ikiwemo taarifa za benki, nilivyorudi kuripoti mara ya pili baada ya kuitwa tena nikasaini tu mkataba na kumalizia vipengele vingine

Ila mpunga uliingia mwezi huo huo wa kwanza, so it depends na taasisi yako ila siku masuala ya kidijitali yamerahisisha mifumo, ni kawaida kupata mpunga wako mwezi wa kwanza ila wale wa kale ilikuwa sio poa[emoji23], kuna raia alikaa miezi minne kabla ya kuingiziwa mshahara, sasa pata picha msoto wake
Duuuh hatari mkubwa
 
Ndugu zangu katika mapambano na kujitafuta, mkipata mchongo msisahau kuaga😊💪, msiondoke kimya kimya maana jumbe zenu za mafanikio ni hamasa kubwa kwa ambao bado wanapambana

huu uzi pendwa umetufariji kwa kipindi kirefu katika hizi harakati zetu za kujitafuta, shuhuda yako ni muhimu sana kuwapa moyo wale ambao pengine kwa namna moja au nyingine wamekata tamaa,

pia sote tusisite kupita humu mara kwa mara hata baada ya kutoboa, kuna ufafanuzi au hata maswali mengi ambayo unaweza kujibia au kusaidia kuwapa ufahamu wengine ambao pengine kwa yale uliyoyapitia tayari una majibu nayo

Nikupe Moyo ambaye bado unapambana kuingia kwenye ajira, na wewe ambae umeshaingia tayari ila unapambana kuzoea mazingira ya kazi mpya, na wewe ambae unasikilizia majibu ya usaili uliofanya, bila kusahau na wewe ambae ndio kwanza unaelekea kwenye usaili na hujui itakuwaje huko mbeleni, na kwa yoyote aliyopo kwenye hatua yoyote ile ya kutafuta ajira,

amini kwa imani yako kuwa wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, mtumainie Mungu nae atakupigania, siku moja utapata kile unachotafuta, na utakapofanikiwa usisahau kumrudishia shukrani kwa yale aliyokufanyia. Amen

Cc Mwifwa makofia360 lerman3x
 
Ndugu zangu katika mapambano na kujitafuta, mkipata mchongo msisahau kuaga[emoji4][emoji123], msiondoke kimya kimya maana jumbe zenu za mafanikio ni hamasa kubwa kwa ambao bado wanapambana

Amina mkuu
 
Shukrani kwa ukumbusho na muongozo huu mkuu
 
Back
Top Bottom