Uzi umepoaWatu hadi wanaonekana kukata tamaa kabisa humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi umepoaWatu hadi wanaonekana kukata tamaa kabisa humu
Hofu kaka Tunaingalia mbele hatuioniUzi umepoa
Kufurahi ukikosa sio rahisi kakaTupeni updates za huko Dodoma je Kuna kutoboa hongerni saana Kwa kujitoa mhanga
Chamsingi ukipata furahi ukikosa furahi, maisha Bado yapo Kasi yanaendelea.
Ni suala la muda tu, utalamba asali na ushuhuda wako utawatia sana nguvu wengine!Daaaaah hakuna kipindii niliumia Sana kama kuona status NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW wakatii nimetumia pesaa karibiaa lakii mbilii kusafiri na kukaa Dodoma,nimesomaa kwa zaidii ya miezii miwilii,it was so painful for me, Namuomba Mungu anisaidiee siku moja nilambe asali nisahau Yale maumivu
Inategemea alikuwa akifanya kazi wapi...!!Mbona nasikia huko kwenye Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UNA) watu wanakula sana maisha mkuu.
Je kabla ya kuondoka ulijaza form ya taarifa zako pamoja na akaunti yako? Kama ulijaza wala usiwe na wasi wasi utakula mishahara ukiwa nyumbasni kama wakichelewa kukuita!
Ni muhimu sana kutokukata tamaa!! Kukata tamaa hakujawahi kumsaidia mtu yeyote!! Si vizuri kufanya kitu ambacho hakijawahi kumsaidia mtu yeyote!! Pitia shuhuda za watu humu waliovumilia kwa muda mrefu lakini hatimaye wakalamba asali!! Hii itakutia sana nguvu! Kumbuka pia kuwa Mungu ni mwaminifu, na ndiye mtoa riziki kwa watu wote, ni suala la muda tu!!Watu hadi wanaonekana kukata tamaa kabisa humu
Hakuna stress mbaya utumishi kama kusubiri placement ya ajira..
Nani ameshawahi kupitia hii hali wakuu ?
Nilijaza form lakini hakukuwa na sehemu za Bank details in short hatukuacha account number.Je kabla ya kuondoka ulijaza form ya taarifa zako pamoja na akaunti yako? Kama ulijaza wala usiwe na wasi wasi utakula mishahara ukiwa nyumbasni kama wakichelewa kukuita!
well notedWanaweza wakawaomba kwa kuwapigia simu. Kwa hiyo subirini kwa lolote
Vp Wakuu..Hongera Afsaa, for how long umekaa kitaa, tangu placement zitoke ?
na vp status inasomaje mkuu kwa app?
ukawe mtumishi mwema.
Hongera sana mkuu. Mungu azidi kukusimamia ktk majumu yako mapya.Mungu ni mwema, wadau na mm leo nimelamba asali namshukuru sana mungu, nawashukuru wana uzi huu kwa faraja zenu kipindi nasubilia placement wadau msikate tamaa wakati wa mungu ndio wakati sahihi, lakn pia naamini yajayo yanafurahisha kwa upande wenu.
Mwamba rinyungu,hongera sanaaa aseeeMungu ni mwema, wadau na mm leo nimelamba asali namshukuru sana mungu, nawashukuru wana uzi huu kwa faraja zenu kipindi nasubilia placement wadau msikate tamaa wakati wa mungu ndio wakati sahihi, lakn pia naamini yajayo yanafurahisha kwa upande wenu.
Saa 9 mkuuVp Wakuu..
Kwa waliofanikwa kwenda masajala ya wazi mwisho wa masaa ya huduma ni saa 9 au 11 jioni?
Mkuu mie namshukuru Mungu nimepass aptitude test,na nimeitwa oral bot,nimeomba likizo ya wiki 1 job,saiv Niko chimbo najiandaa na oral,dua zenu muhimu🙏🙏🙏Ndugu zangu katika mapambano na kujitafuta, mkipata mchongo msisahau kuaga😊💪, msiondoke kimya kimya maana jumbe zenu za mafanikio ni hamasa kubwa kwa ambao bado wanapambana
huu uzi pendwa umetufariji kwa kipindi kirefu katika hizi harakati zetu za kujitafuta, shuhuda yako ni muhimu sana kuwapa moyo wale ambao pengine kwa namna moja au nyingine wamekata tamaa,
pia sote tusisite kupita humu mara kwa mara hata baada ya kutoboa, kuna ufafanuzi au hata maswali mengi ambayo unaweza kujibia au kusaidia kuwapa ufahamu wengine ambao pengine kwa yale uliyoyapitia tayari una majibu nayo
Nikupe Moyo ambaye bado unapambana kuingia kwenye ajira, na wewe ambae umeshaingia tayari ila unapambana kuzoea mazingira ya kazi mpya, na wewe ambae unasikilizia majibu ya usaili uliofanya, bila kusahau na wewe ambae ndio kwanza unaelekea kwenye usaili na hujui itakuwaje huko mbeleni, na kwa yoyote aliyopo kwenye hatua yoyote ile ya kutafuta ajira,
amini kwa imani yako kuwa wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, mtumainie Mungu nae atakupigania, siku moja utapata kile unachotafuta, na utakapofanikiwa usisahau kumrudishia shukrani kwa yale aliyokufanyia. Amen
Cc Mwifwa makofia360 lerman3x
Maandalizi mema mkuuMkuu mie namshukuru Mungu nimepass aptitude test,na nimeitwa oral bot,nimeomba likizo ya wiki 1 job,saiv Niko chimbo najiandaa na oral,dua zenu muhimu🙏🙏🙏
Kila la kheri kwa maandalizi hayo.Mkuu mie namshukuru Mungu nimepass aptitude test,na nimeitwa oral bot,nimeomba likizo ya wiki 1 job,saiv Niko chimbo najiandaa na oral,dua zenu muhimu[emoji120][emoji120][emoji120]