El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
hatariCDO's nakwambia mwaka huu wao...na bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatariCDO's nakwambia mwaka huu wao...na bado
hizo interview za hivyo ukifeli unasahau hata kama ulifuata kazi unakumbuka chai nzito na kuku wa lunch..Interview za BOT ndo zilivyo hapo hadi lunch mnapata halafu ni kitu cha bufee yani
Mungu atusaidie atuone na sisi jamani. Daah, na Leo sijaona Jina. Matumaini yanapotea nafasi naona kama zinaisha.Naona PSRS wameamua kufuta majobless kwenye huu uzi tuwaombee wengine wapate ili tubadilishe Kichwa cha thread .
Mungu ni wetu soye mwenyewe... mpaka naona majina yanaisha na cjapataMungu atusaidie atuone na sisi jamani. Daah, na Leo sijaona Jina. Matumaini yanapotea nafasi naona kama zinaisha.
Hahahaha Kabisaaahi
hizo interview za hivyo ukifeli unasahau hata kama ulifuata kazi unakumbuka chai nzito na kuku wa lunch..
Mungu atusaidie jamani mtaani pagumu.Mungu ni wetu soye mwenyewe... mpaka naona majina yanaisha na cjapata
Post gani??wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Daaaah siyo poa yaan[emoji91][emoji91]Interview za BOT ndo zilivyo hapo hadi lunch mnapata halafu ni kitu cha bufee yani
Aisee nimechelewa hivi, Sawadogo Sawadogo, Sawadogo hakika Mungu ameona huu ndio wakati wako, hongera sana mwamba. Vijana watafuta asali tunavingi vya kujifunza kutoka kwako, mapambano, uvumilivu ni chachu uliyotuachia.wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
kama ni CDO naamini huu mwaka hautaisha utakua ushapaata vumilia tu..Mungu atusaidie atuone na sisi jamani. Daah, na Leo sijaona Jina. Matumaini yanapotea nafasi naona kama zinaisha.
bado wiki mbili yatoke mkuuKwani majibu ya TRA waliofanya week iliyopita wanatoa lini. Mdogo wangu alisafiri hadi leo hajarudi anasubiri oral ajue kama anabaki au la. Anaejua atujuze aisee
Sawasawa dogo arudi tu nyumbanibado wiki mbili yatoke mkuu
ndiyo mkuu walisema after 3 weeksSawasawa dogo arudi tu nyumbani
Na walisema baada ya hapo ni practical au ni oralndiyo mkuu walisema after 3 weeks
?Na walisema baada ya hapo ni practical au ni oral
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Nafasi zikiisha unawekwa database, nafasi zikipatikana unapangiwa kituo cha kazi.Mungu atusaidie atuone na sisi jamani. Daah, na Leo sijaona Jina. Matumaini yanapotea nafasi naona kama zinaisha.
Walisema wapi wadau walitangaza baada ya mitihani au wapi? Maana mimi sikuskiandiyo mkuu walisema after 3 weeks
Hivi kwa nyie wazoefu inawezekana kama post ni 20 zikaenda mpaka 50?Nafasi zikiisha unawekwa database, nafasi zikipatikana unapangiwa kituo cha kazi.
Kuwa na subira!
Inawezekana kabisa Kuna nafasi Kama za afisa mifugo wameita watu kazini Zaidi ya wale walokua wakiwahitajiHivi kwa nyie wazoefu inawezekana kama post ni 20 zikaenda mpaka 50?