Lupe Tz
JF-Expert Member
- Aug 7, 2021
- 259
- 910
Kumbe hata CDO...wanaweza kufika hat 1000 kabisaInawezekana kabisa Kuna nafasi Kama za afisa mifugo wameita watu kazini Zaidi ya wale walokua wakiwahitaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hata CDO...wanaweza kufika hat 1000 kabisaInawezekana kabisa Kuna nafasi Kama za afisa mifugo wameita watu kazini Zaidi ya wale walokua wakiwahitaji
walisema majibu ni after three weeks baada ya hapo ni oral but walio ambiwa ni waliokuwa wanafanya Tax management officerNa walisema baada ya hapo ni practical au ni oral
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Daaah umenichekesha sana ila kizazi cha sasa aisee ni matatizo SUBARU si itamaliza mpaka moja yako ya tatu.Wadau naombeni ushauri tangu nipate placement kila saa akili inawaza SUBARU XT 2009 najaribu kufuta mawazo hayatoki nimejaribu kunywa beer nisahau ila ndio inazidi kunijia karibu zaidi.View attachment 2772942
🤣🤣🤣🤣🙌 endelea kuwaza kwanini ujisahaulishe kwa beer sasa!?akat ni mawazo mema😇Wadau naombeni ushauri tangu nipate placement kila saa akili inawaza SUBARU XT 2009 najaribu kufuta mawazo hayatoki nimejaribu kunywa beer nisahau ila ndio inazidi kunijia karibu zaidi.View attachment 2772942
waza kuhusu PCCB pia mkuuWadau naombeni ushauri tangu nipate placement kila saa akili inawaza SUBARU XT 2009 najaribu kufuta mawazo hayatoki nimejaribu kunywa beer nisahau ila ndio inazidi kunijia karibu zaidi.View attachment 2772942
Fanya kupokea kijiti cha mfwende kwa sasa mkuuDaaaah cdo kama wote hv nmebaki mimi tu mbn, Mungu anione jmn
potelea pwete mkuu hii subaru xt itaniua[emoji23][emoji23][emoji23] Daaah umenichekesha sana sasa kizazi cha sasa aisee ni matatizo sasa SUBARU si itamaliza mpaka moja yako ya tatu.
Eeeeh nimeamua kurejea kifungu cha toshekeni na mishahara yenu mkuuwaza kuhusu PCCB pia mkuu
Sio kwamba itanikamua mkuu wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119] endelea kuwaza kwanini ujisahaulishe kwa beer sasa!?akat ni mawazo mema[emoji56]
Mwambie arudi tuu anaendelee majukum watu tumesahau kama tulitoka arusha had mbeyKwani majibu ya TRA waliofanya week iliyopita wanatoa lini. Mdogo wangu alisafiri hadi leo hajarudi anasubiri oral ajue kama anabaki au la. Anaejua atujuze aisee
Relax mkuu mbona bado Sana wanaweza ita kidogo kidogo paka hata mwakani,Kuna watu walifanya interview mwaka Jana mwezi wa sita Leo wameitwa kaziniDaaaah cdo kama wote hv nmebaki mimi tu mbn, Mungu anione jmn
Nilifanya lakin hatukuambiwa chochot, myb kuna baadhi waliambiwawalisema majibu ni after three weeks baada ya hapo ni oral but walio ambiwa ni waliokuwa wanafanya Tax management officer
Mimi sio kaka mbn[emoji3526], tuombeane ndugu yangu Mungu atatukumbuka nasisiSio wewe tu kaka Mimi mwenyewe chale tu
.....🤣🤣 Kabla ya chai kuna watu watashindwa kunywa chai.IT kwa leo pumzika ila kesho asubuhi mida ya chai ile mwaga moto kuna chapati zako sita...
IT ni mtu wetu[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]StelingiIT kwa leo pumzika ila kesho asubuhi mida ya chai ile mwaga moto kuna chapati zako sita...
Ndio ni CDO Mkuu.kama ni CDO naamini huu mwaka hautaisha utakua ushapaata vumilia tu..