Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
Kudharaulika ni GIVEN hiyo kwa jobless nakumbuka nilihama mji niliozaliwa baada ya kumaliza chuo bila hata kupata ajira nikaenda kujilipua mbele huko maana vijana waliofeli form iv nilikuta wanamaisha mazuri sana baada ya mimi kumaliza chuo.Asante kwa ushauri mzuri.
Course niliyosoma inahuhitaji mkubwa sana kila siku wanaajiri watu.
Nimejiwekea asilimia kubwa za kupata kazi .
Ila mambo mengine namwachia Mungu.
Nimeshaanza kudharaulika mjini.
Jobless lazima upitie tanulu la moto likufundishe maisha ni nini.