Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ukiona wamepost ujue mambo yote yaliyochini ya himaya yao yashakamilika, kama wameirudisha PDF huenda wanakamilisha mambo yaliyopungua/sahaulika.Kazi mnoo. Afu majina alioyapunguza, atayapost tena pdf lingine. Jumatatu sijui jumanne. Wale sio changamoto, maana ni uhakika nafasi yao ipo.
Sisi ambao hatujui siku wala saa ndio tunapata tabu. Maana hapo majina mengine hadi yaliyopunguzwa waitwe tena.
Wakipost majina mengi kwani ni kinyume cha sheria?! Au wanapenda kutupa psychological torture?!