Assistant lecturer ni masters mkuuHuyo ni.masters au vp maana Assistant Lecture ngazi ya bachelor km vile haipo au mimi ndo sifahamu ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Assistant lecturer ni masters mkuuHuyo ni.masters au vp maana Assistant Lecture ngazi ya bachelor km vile haipo au mimi ndo sifahamu ??
Alipiga mastersHuyo ni.masters au vp maana Assistant Lecture ngazi ya bachelor km vile haipo au mimi ndo sifahamu ??
Wale waliokuwa na received za mda & lga wacheki pdf imetoka
Watu ni wengi balaaa
Mzee unabando la kuingia jf halfu hauna bando la kuangalia kwa websiteBoss ebu share hyo pdf tuone mkuu
Nmeingia sijaona ndo maana nimeomba, wacha niingie tenaMzee unabando la kuingia jf halfu hauna bando la kuangalia kwa website
Mzee mpe heshima yake katibu .View attachment 2786101
IT karibu tupate kifungua kinywa...
IT huwa hapangiwi, ww muache ashushe mzigo mda wowote,IT umeamkaje nadhani jana kuna mkeka mlikuwa mnauandaa maana katibu ameshasaini.
Nadhani Task yako leo kumalizia majina mengine .
Hivyo mimi kama mjumbe wa kusubiria mkeka nakuomba uchague leo utoe mkeka leo au Kesho maamuzi nimekuachia wewe.
Leo unaweza kupumzika ila IJUMAA TUNAOMBA ULISHUSHE LIMKEKA
UmenimindIT huwa hapangiwi, ww muache ashushe mzigo mda wowote,
KATIBU HANA BAYA!!
Kila kitu kina faida na hasara.Kama wanasafisha database hawawezi nafasi za kutangazwa zitatoka wapi,kila ikija anachukuliwa database.Au jobless mimi sijaelewa ?Yap Muhimu sana hili Mkuu. Ukiwa na Received huku unasubiria Database au placement unakua kidogo ume relax.
IT hii ndio kazi yake pendwa, sasa ww unataka kumpangia, muache ashushe vitu.Umenimind
Chamsingi placements zinatoka.Kila kitu kina faida na hasara.Kama wanasafisha database hawawezi nafasi za kutangazwa zitatoka wapi,kila ikija anachukuliwa database.Au jobless mimi sijaelewa ?
Umemaliza chuo lini naomba Nijue kwanza kabla ya kukujibu?Kila kitu kina faida na hasara.Kama wanasafisha database hawawezi nafasi za kutangazwa zitatoka wapi,kila ikija anachukuliwa database.Au jobless mimi sijaelewa ?