Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

347647406_6587745381259115_5529640685419742823_n.jpg
IT karibu tupate kifungua kinywa...
 
IT umeamkaje nadhani jana kuna mkeka mlikuwa mnauandaa maana katibu ameshasaini.

Nadhani Task yako leo kumalizia majina mengine .

Hivyo mimi kama mjumbe wa kusubiria mkeka nakuomba uchague leo utoe mkeka leo au Kesho maamuzi nimekuachia wewe.

Leo unaweza kupumzika ila IJUMAA TUNAOMBA ULISHUSHE LIMKEKA
 
IT huwa hapangiwi, ww muache ashushe mzigo mda wowote,

KATIBU HANA BAYA!!
 
Back
Top Bottom