2025DG
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 520
- 1,498
IT mtu wetuChamsingi placements zinatoka.
KATIBU HANA BAYA!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IT mtu wetuChamsingi placements zinatoka.
KATIBU HANA BAYA!!
KATIBU HANA BAYA!!IT mtu wetu
Ngoja nikueleweshe kitu.Kila kitu kina faida na hasara.Kama wanasafisha database hawawezi nafasi za kutangazwa zitatoka wapi,kila ikija anachukuliwa database.Au jobless mimi sijaelewa ?
akitoa mkeka tu.we mwenyewe utajionea.. 🤣 🤣Mzee mpe heshima yake katibu .
Na mpakua Mkeka IT.
Muandalie Chai ya kueleweka basi.
Hakika IT ni mtu wetu, hana baya.. Hongera sanaaa kaka..Namshukuru sana mwenyezimungu hatimaye IT leo kaposti pdf yenye jina langu. ( nimelamba asali).
Nawashukuru wataalamu wangu wote kwa sapoti yenu.
Kauli mbiu ni ileile tusikate tamaa bila shaka wadau wa huu uzi wote tutapata placement kwa idhini ya muumba.
Mwenyezimungu Awaongozeni, awabariki na azifurahishe nyoyo zenu.
shukran sana mkuuHakika IT ni mtu wetu, hana baya.. Hongera sanaaa kaka..
Duh ![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2786101
IT karibu tupate kifungua kinywa...
hiko ni kijimkeka...Kuna mkeka huko ,kaangalieni . Nimeona kuna watu wamelamba asali nzito NIMR ,hongera .
IT zidi kuachia vitu 🔥🔥🔥
eeehhh 🤣 🤣Hivi huyu IT mnaemuongelea ni nani? Id yake ya humu ndo IT au?
🤣🤣🤣🤣Hivi huyu IT mnaemuongelea ni nani? Id yake ya humu ndo IT au?