Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kila kitu kina faida na hasara.Kama wanasafisha database hawawezi nafasi za kutangazwa zitatoka wapi,kila ikija anachukuliwa database.Au jobless mimi sijaelewa ?
Ngoja nikueleweshe kitu.

Mchakato wa ajira umeanza mbali hadi kufikia hapa.

Kwenye website ya PSRS kuna sehemu tatu Advertising hapa kuna matangazo ya Ajira na ndipo mtu anaongeza received kama ushawahi kusikia received.

Sehemu ya pili interview hapa kuna usaili wa kuandika lazima upate 50 uendelee name practical baadhi ya kada na mwisho mahojiano (Oral)

Usaili ukisha unasubiri kuitwa kazini.

Usipoliona jina lako kwa post uliyofanyia interview basi una kuwa na asilimia kubwa jina lako kuwa kwenye database kama ukipata 50.

Sasa mchakato unaendeleaje hivyo hivyo wewe Jobless unaanzia kule kwenye kuomba ajira ,interview na kuitwa kazjni
 
Namshukuru sana mwenyezimungu hatimaye IT leo kaposti pdf yenye jina langu. ( nimelamba asali).

Nawashukuru wataalamu wangu wote kwa sapoti yenu.

Kauli mbiu ni ileile tusikate tamaa bila shaka wadau wa huu uzi wote tutapata placement kwa idhini ya muumba.

Mwenyezimungu Awaongozeni, awabariki na azifurahishe nyoyo zenu.
Hakika IT ni mtu wetu, hana baya.. Hongera sanaaa kaka..
 
Wale cdo wenzangu ambao hatujaappear kwenye pdf yoyote...kuna uwezekano wa data base kwel au ndo basi tena🥲
 
Back
Top Bottom