Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakati wako utafika na wewe
Screenshot_20231020-214155~2.jpg
 
Dah ! ,Hawa jamaa wanakwama wapi kuita majina ya fani nyingine tulizofanya mwezi wa sita aisee ?
CDO wa mwezi wa saba washamaliza ila fani za mwezi wa sita hawajamaliza kuiita ,ni hapo ndio huwa wananichanganya hawa jamaa
Ina maana walikuwa hawana uhitaji au ni nini ?
CDO sidhan kama wameisha japo.majina yaliyotoka ni mengi sidhani kama wameshafika 800...
 
Back
Top Bottom