Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Binafsi naona ni mauzauza tu, Kuna watu unaona wamefaulu pass mark, then wamemwandikia irrelevant, wakati wao ndo wamemshortlist na email ya namba ya mtihani wakamtumia, hiyo haitoshi siku ya mtihani Kuna ukaguzi ulifanyika. Hii maana yake ni Nini sasa na Bora angekuwa mtu mmoja ni wengi mno.
Duuh, hao walioandikiwa irrelevant ni wale wenye course gani mkuu, hivi hili taifa aliyeliroga mbona hana huruma
 
Kuna kitu nahitaji kuuliza yeyote mwenye wazo au experience kuhusiana na hiki naomba anipe jibu, kati ya kuajiriwa au kujiajiri ni kipi kinamfaa mtu ambaye anapenda kusafiri yani yeye malengo yake ni kutafuta hela ili asafiri na kutalii tu nchi mbalimbali duniani kila mwaka, hana familia wala mtegemezi yeyote yule yani hela yake anayopata ni ya kutumia yeye na kusaidia wenye shida apatapo nafasi

Kwenye kuajiriwa inajulikana kwamba kila mwaka lazima kuna likizo ya mwezi kwa kila mtumishi ila kwenye kujiajiri ndio haijulikani atapata lini muda wa kusafiri, ikiwa biashara yake itahitaji uwepo wake kila siku maana nature ya biashara nyingi za kibongo hadi zije kusimama zenyewe kwa kuweka tu watu bila kuhitaji uwepo wako kila siku, basi itachukua muda mrefu kwahiyo malengo ya kusafiri nje kila mwaka atachelewa sana kuyatimiza

Ndio nimeona nililete kwenu wadau since huu uzi unahusiana na mambo ya ajira, yeyote mwenye maoni au ushauri juu ya mtu wa aina hiyo ni kipi kitamfaa kati ya kazi au biashara, natanguliza shukrani
 
Fungua thread kwny jukwaa la ajira na tenda mzee, humu tunajadili mambo ya placements za Psrs ndio mada kuu.
 
Boss! Inategemea ni ajira ipi na ni biashara ya aina gani. Kuna ajira ukipata inaweza kukuwezesha kufanya hayo na zipo zitakazo kukwamisha, na hata biashara zipo zitakazo kuzuia na ambazo zitakuwezesha.
 
Dah hizi halimashauri nyingine ziko Chaka kinomaa, Yani unpangiwa kazi ukienda kuripoti kama unaenda msumbiji au unaenda kwenye machimbo ya madini aiiisee, tuliyozaliwa mjini na kukulia mjini Kunahitaji uvumilivu wa Hali ya juu sana ,, Kuna halimashauri zimeanzishwa porini nyie usiombe , wewe ni CDO ukifika unapelekwa Tena ndani ndani kwenye kata huko!! 🤣🤣🤣
 
Kuna binti mmoja mrembo wamempeleka karibu na Malawi huko mpaka namuonea huruma..,sema lazima tupambane ujobless sio poa.
 
Dah hizi halimashauri nyingine ziko Chaka kinomaa, Yani unpangiwa kazi ukienda kuripoti kama unaenda msumbiji au unaenda kwenye machimbo ya madini aiiisee, tuliyozaliwa mjini na kukulia mjini Kunahitaji uvumilivu wa Hali ya juu sana ,, Kuna halimashauri zimeanzishwa porini nyie usiombe , wewe ni CDO ukifika unapelekwa Tena ndani ndani kwenye kata huko!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukapambane na fisi na wachawi huko mpaka ukome[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],yote hiyo ni makusudi ili jobless utaabike Tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Fungua thread kwny jukwaa la ajira na tenda mzee, humu tunajadili mambo ya placements za Psrs ndio mada kuu.
Si kila mtu anapenda kuanzisha nyuzi kwa kila swali alilonalo, ungesoma na kujibu comments zinazohusu placements za psrs tu ndugu yangu hii ungeachana nayo, na sidhani kama comments zote kwenye huu uzi tangu umeanzishwa zinahusu placements za psrs tu kama ulivyosema
 
Si kila mtu anapenda kuanzisha nyuzi kwa kila swali alilonalo, ungesoma na kujibu comments zinazohusu placements za psrs tu mkuu hii ungeachana nayo, na sidhani kama comments zote kwenye huu uzi tangu umeanzishwa zinahusu placements za psrs tu kama ulivyosema
Unatutoa kwny lengo mzee..,watu wanawaza palcements.
 
Boss! Inategemea ni ajira ipi na ni biashara ya aina gani. Kuna ajira ukipata inaweza kukuwezesha kufanya hayo na zipo zitakazo kukwamisha, na hata biashara zipo zitakazo kuzuia na ambazo zitakuwezesha.
Oohh shukrani mkuu hapo kwenye biashara nimekupata, ila kwenye ajira nina swali kidogo mfano hizi za vyombo vya ulinzi na usalama, zinaweza kumuwezesha mtu kusafiri kwa uhuru anapokuwa likizo
 
Back
Top Bottom