El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
itakua bandoIT KWENYE REPLACEMENT AMEZINGUA WIKI HIZI MBILI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itakua bandoIT KWENYE REPLACEMENT AMEZINGUA WIKI HIZI MBILI
Atume namba nimuungie bando.itakua bando
Ni placements mkuu.., amezingua sana.IT KWENYE REPLACEMENT AMEZINGUA WIKI HIZI MBILI
KATIBU HANA BAYA.IT, jobless tunaishi kwamashaka sana! Tupe pdf angalau tufarijike.
KATIBU HANA BAYA!!
Unapata Boss ilmradi gpa iliruhusu ukapewa Cheti. Unaweza kupata Private or GovernmentMimi naogopaga kuomba nikajua labda sitaitwa kwenye interview pia kwenye private sector hua naogopa kuapply kazi kumbe inawezekana jamniiii
Alooo ngoja nichangamke Sasa na MimiUnapata Boss ilmradi gpa iliruhusu ukapewa Cheti. Unaweza kupata Private or Government
Sababu nafasi zilizotolewa zinakuwa ni kwa ajili ya watoto wao na zingine wanaziuza kwa wenye hela na ndiyo maana wafanyakazi wengi hawana ufanisi kwenye kazi zao, wanaonekana ni vilaza tu kwa sababu hawana elimu sahihi.Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Hongera sana kwa hatua hiyo mkuu.App yangu ndo imegoma kabisa aise, afu ni kwa hii thread tu ndo imezingua.
Any way imebidi nirudi kutumia website tu atleast nitoe na mimi ka ushuhuda kangu ka kupiga oral yangu ya kwanza utumishi week iliyopita.
Nawashukuru sana wadau wote , mnatutia san moyo kiukweli . Na mimi nilikua ni katika wale wasioamini kwenda kupambania nafasi chache chache za utumishi kwa hofu ya ushindani. Hatimae nmetoboa baada ya kukandiwa interviews 2 tena zilizokua na nafasi kibao tu.
Hatimae najoin rasmi kwenye chama cha wasubiri placements (CCWP).
"hakikisha unafika oral, mama kachafukwa"
Hiyo sio kauli yangu ni ya mtumishi m1 wa psrs alikika akisema wakati tunajiandaa kupiga oral.
Kazi wanapeana wenyewe kwa wenyewe na zingine huziuza na ndiyo maana hapa Tanzania tuna watu wasiokuwa na ujuzi makazini, yaani tumeajiri vilaza wengi.....watu wanajiri watu tu bila kufanya usaili.Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Hujamuelewa.
Tarehe 8/11/2023 ana Oral(TRA) inafanyikia Dar, pia hii hii tarehe ana Practical(MDA & LGA) inafanyikia Dom.
Ili afanye Oral (MDA & LGA) tarehe 9/11/2023 inabidi afanye na kufaulu Practical yake ambayo ni tarehe 8/11/2023.
Je atawezaje kuzifanya zote Oral(TRA) na Practical(MDA & LGA) kwa siku moja?
Asante sana.Hongera sana kwa hatua hiyo mkuu.
Ukifika oral unakuwa na chance kubwa kuingia kundini
Mkuu shukrani kwa maoni yako.Sababu nafasi zilizotolewa zinakuwa ni kwa ajili ya watoto wao na zingine wanaziuza kwa wenye hela na ndiyo maana wafanyakazi wengi hawana ufanisi kwenye kazi zao, wanaonekana ni vilaza tu kwa sababu hawana elimu sahihi.
Uhuni tu wengine tumfk mara 4 n hamna cha placment wl nnApp yangu ndo imegoma kabisa aise, afu ni kwa hii thread tu ndo imezingua.
Any way imebidi nirudi kutumia website tu atleast nitoe na mimi ka ushuhuda kangu ka kupiga oral yangu ya kwanza utumishi week iliyopita.
Nawashukuru sana wadau wote , mnatutia san moyo kiukweli . Na mimi nilikua ni katika wale wasioamini kwenda kupambania nafasi chache chache za utumishi kwa hofu ya ushindani. Hatimae nmetoboa baada ya kukandiwa interviews 2 tena zilizokua na nafasi kibao tu.
Hatimae najoin rasmi kwenye chama cha wasubiri placements (CCWP).
"hakikisha unafika oral, mama kachafukwa"
Hiyo sio kauli yangu ni ya mtumishi m1 wa psrs alikika akisema wakati tunajiandaa kupiga oral.
Mkuu haikuwa interview huoni tunaongelea masjala ya wazi, ilikuwa ni kufata BaruaSasa na ww unaendaje kwenye interview ilhali unavaa nguo zisizo za kiutumishi