Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

App yangu ndo imegoma kabisa aise, afu ni kwa hii thread tu ndo imezingua.
Any way imebidi nirudi kutumia website tu atleast nitoe na mimi ka ushuhuda kangu ka kupiga oral yangu ya kwanza utumishi week iliyopita.

Nawashukuru sana wadau wote , mnatutia san moyo kiukweli . Na mimi nilikua ni katika wale wasioamini kwenda kupambania nafasi chache chache za utumishi kwa hofu ya ushindani. Hatimae nmetoboa baada ya kukandiwa interviews 2 tena zilizokua na nafasi kibao tu.

Hatimae najoin rasmi kwenye chama cha wasubiri placements (CCWP).

"hakikisha unafika oral, mama kachafukwa"
Hiyo sio kauli yangu ni ya mtumishi m1 wa psrs alikika akisema wakati tunajiandaa kupiga oral.
 
Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Sababu nafasi zilizotolewa zinakuwa ni kwa ajili ya watoto wao na zingine wanaziuza kwa wenye hela na ndiyo maana wafanyakazi wengi hawana ufanisi kwenye kazi zao, wanaonekana ni vilaza tu kwa sababu hawana elimu sahihi.
 
Hongera sana kwa hatua hiyo mkuu.

Ukifika oral unakuwa na chance kubwa kuingia kundini
 
Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Kazi wanapeana wenyewe kwa wenyewe na zingine huziuza na ndiyo maana hapa Tanzania tuna watu wasiokuwa na ujuzi makazini, yaani tumeajiri vilaza wengi.....watu wanajiri watu tu bila kufanya usaili.
 
Hujamuelewa.

Tarehe 8/11/2023 ana Oral(TRA) inafanyikia Dar, pia hii hii tarehe ana Practical(MDA & LGA) inafanyikia Dom.

Ili afanye Oral (MDA & LGA) tarehe 9/11/2023 inabidi afanye na kufaulu Practical yake ambayo ni tarehe 8/11/2023.

Je atawezaje kuzifanya zote Oral(TRA) na Practical(MDA & LGA) kwa siku moja?

Sawa Prof. Nimeelewa. Dah! Wengine hii michakato ya ajira hatuko nayo karibu sana, ndio maana nikadhani kila tarehe ni interview separate, kumbe amaanisha ni chaguo kati ya mfululizo wa interview kwa nafasi ya aina moja ya kwenye taasisi moja kuanzia kuanza mpaka kuisha dhidi ya Oral ya TRA.
 
Sababu nafasi zilizotolewa zinakuwa ni kwa ajili ya watoto wao na zingine wanaziuza kwa wenye hela na ndiyo maana wafanyakazi wengi hawana ufanisi kwenye kazi zao, wanaonekana ni vilaza tu kwa sababu hawana elimu sahihi.
Mkuu shukrani kwa maoni yako.

Ukikaa vizuri na kuweza kufuatilia huu uzi(maana nimeona haujawahi kuufuatilia), basi utagundua kama maoni yako ni sahihi au la.
 
App yangu ndo imegoma kabisa aise, afu ni kwa hii thread tu ndo imezingua.
Any way imebidi nirudi kutumia website tu atleast nitoe na mimi ka ushuhuda kangu ka kupiga oral yangu ya kwanza utumishi week iliyopita.

Nawashukuru sana wadau wote , mnatutia san moyo kiukweli . Na mimi nilikua ni katika wale wasioamini kwenda kupambania nafasi chache chache za utumishi kwa hofu ya ushindani. Hatimae nmetoboa baada ya kukandiwa interviews 2 tena zilizokua na nafasi kibao tu.

Hatimae najoin rasmi kwenye chama cha wasubiri placements (CCWP).

"hakikisha unafika oral, mama kachafukwa"
Hiyo sio kauli yangu ni ya mtumishi m1 wa psrs alikika akisema wakati tunajiandaa kupiga oral.
Uhuni tu wengine tumfk mara 4 n hamna cha placment wl nn
 
Wajuvi

Mwombaji ana Bachelor's degree ya HYDROGEOLOGY na ameomba nafasi hiyo.
Majibu ndio haya, hapo shida inaweza kuwa nini?
Na je huwa wanataja shida specific au majibu huja in general kama hivi?
Maana hapo labda shida iwe nyingine, lakini kusema mwombaji ameomba irrelevant post sio kweli.
IMG_20231025_180301.jpg
 
Back
Top Bottom