Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama hawatatoa ajira tena watutangazie basi tuache kuingia web yao na kukesha humu.
kama vipi waseme watu turudi enzi zile za analojia na mabaasha kwenye ofisi za uma.maza ameshazingua tayari izo taasisi za uma kazi zenyewe haziwekwi public.shabaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasssssssssssssshhhhhhhhhhhhhhhh
 
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YAIDHINISHA VIBALI 930 VYA AJIRA MPYA KWA KADA YA WATUNZA KUMBUKUMBU NA NYARAKA KATIKA MWAKA WA FEDHA 2023/24
utumishi.go.tzOct 27, 2023 12:00 PM

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Watunza Kumbukumbu na Nyaraka wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 11 wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) uliofanyika jijini Dodoma.
 
Tutilizeni mizuka vijana,
kama umeshafika oral kaa tulia kazi yako imeisha mengine muachie Mungu wako.

relax, psrs is for hustlers.
Ukivumilia ukafikia hatua ukaona sasa huwezi vumilia tena basi jua umekaribia kuulamba.
"Ukiona giza limeongezeka ujue kumekaribia kukucha"

Tunaelekea 2024 yaan 1 year before 2025. Hakikisha account yako inasoma selected for oral both app and web. Usije sema sijakwambia.
 
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YAIDHINISHA VIBALI 930 VYA AJIRA MPYA KWA KADA YA WATUNZA KUMBUKUMBU NA NYARAKA KATIKA MWAKA WA FEDHA 2023/24
utumishi.go.tzOct 27, 2023 12:00 PM

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Watunza Kumbukumbu na Nyaraka wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 11 wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) uliofanyika jijini Dodoma.
Habari nzuri sana hii hasa kwa wahusika,
 
TAASISI ni KICHAKA tu cha kutaka KURUDISHA enzi za KURITHISHANA mashirika ya UMMA...hawana KABISA sababu ambazo ni za MSINGI...hapa NGUVU zingewekwa KUIBORESHA PSRS na SI vinginevyo....
Kwa ambao wamelamba asali wanajua maswali tunayokutananayo huko kwenye mashirika baada ya kufanikiwa kuingia kupitia PSRS..wapo watu wana watoto wao wanakandwa sana CIVE..wanauliza wewe ulifanyaje ndo nikapata jibu..huyu angekua amepewa nguvu ya kuajiri huwenda hata Mimi nisingekuwepo hapa.

Wazee STUKENI...TAASISI KUPEWA HUU MCHONGO ni MTEGO.
 
Taasisi wanaficha Document.

Taasisi wanachelewesha kupeleka Document za Kuwaita watu kazini kwa ma kusudi.

UTUMISHI HAWANA KOSA MBONA
 
Back
Top Bottom