Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Gavano upo ? ,Umepotea humu mkuuBora taasisi ziajiri zenyewe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Gavano upo ? ,Umepotea humu mkuuBora taasisi ziajiri zenyewe tu
Uvumilivu unaomgelea upi wewe?Acheni mihemko wakuu, chukueni mfano kutokea kwa mfwandwe sawadogo yupo tokea Uzi umeanzishwa Ila asali Kalamba juzi juzi Tu hapa, uvumilivu ndo silaha kuu ya jobless.
Asante naona una endana na mimi na.akili zangu.Utumishi kusema ukweli tatizo linalotukera kwao ni kichwa cha hii thread /Uzi
Hata watu waliopata Placement humu watakiri hili .
Watu wanapata Placement kweli lakini ni kwa kusota sana ,hii ni uneccesary aisee na haitakiwi kuwa hivi .
Vitu vingi wanajitahidi kunyoosha mambo , ila hapo kwenye kuchelewesha Placement ni tatizo sugu ,na wamo humu na wana ID kabisa Sekretarieti ya Ajira .
Kwa kweli walifanyie kazi hili suala la sivyo maumivu , wanatengeneza uraibu na mental torture Kwa watu .
Kama taasisi wanajivuta psrs wapewe mandate ya kuwakoromea na kuwapeleka kinyapala hao ma HR wanaozembea kurudisha hizo nyaraka psrs
Continuous improvement ni muhimu ,hata private sectors huku, continuous improvement hiyo ni moja ya msingi wa organization yoyote au kampuni ili kukua na kuongeza ufanisi ,sasa kama organization nyeti kama psrs hawana mfumo wa kukaa na kuangalia tatizo sugu kama hilo na kulifanyia kazi ni tatizo ,na ndio itaendelea kutumiwa kama upenyo wa taasisi kujitoa kwenye mfumo wa PSRS na matokeo anayeumia ni msaka ajira / commoner wa kitaa ,maana hata huko kwenye taasisi na mifumo yao ya kuajiri tunajua Madudu yao .
kuna vitu vya kuvumilia sio maswala ya kulambishana asali.. 😆 😆Uvumilivu unaomgelea upi wewe?
Halfu mtu.anakushauri uvumilie bila kukuelekeza chochote kile.kuna vitu vya kuvumilia sio maswala ya kulambishana asali.. [emoji38] [emoji38]
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombajiUvumilivu unaomgelea upi wewe?
Siwatishi ndugu yangu ila huo ndio ukweli, nyie mmekuja kwa kuchelewa humu na bahati nzuri au mbaya mmekuta almost 70% ya waliokuwa wanasubiria Placement wamepatambona unatutisha.yaani mwezi wa 2 mpaka wa kumi mmmhhh twafa.....[emoji1787][emoji1787]
mmmhh sio mchezo.tatizo watu wapo mtaani hawana ishu alafu umri wa kustaafu unakaibia..Siwatishi ndugu yangu ila huo ndio ukweli, nyie mmekuja kwa kuchelewa humu na bahati nzuri au mbaya mmekuta almost 70% ya waliokuwa wanasubiria Placement wamepata
ila mtakutana nao tu wale ambao walitoka kwenye oral January na February na bado wanasubiri placement
Sasa vuta picha mtu ana miezi miwili tu tangu afanye Oral ashaongea maneno yote kamaliza, je akifikisha miezi 8 itakuaje?
Umeomba kazi umeitwa written umepiga, umeitwa Oral umepiga,or umeitwa na practical umepiga, hapo ni kuendelea na hiyo cycle hapo mwanzo mwisho
Zikitoka Ajira mpya unaenda unapiga unarudi kuskilizia huku unaendelea na issue zingine, hizi kazi za utumishi ukiziwekea hope sana unaweza kuwa kichaaa
Kwanza kwanini uweke hope sana ilhali na unajua mmeitwa watu 200 ila nafasi wanahitajika watu 40? Kwamba wewe ndio unajijua ni Bora saaaana kuliko hao 159 waliobakia?
Interview ni zali tu Mkuu, we kama umefika Oral basi kaa Kwa kutulia muda wowote Wananasa, haijarishi ulizingua au ulinyoosha vizuri kwa kiasi gani ila chochote kinaweza kutokea
Me nilitoaga ushuuda humu wa namna gani nina uhakika wa 80% kuwa kazi nishakosa, kwa sababu sio Siri sikujiona kama nimefanya vizuri, maswali nilikuwa najibu kwa points nusu nusu tu, hakuna ata swali moja nilijibu points zote
ila mwisho wa siku nilipata mchongo dakika za lala salama kabisa nikiwa naendelea na Mambo yangu mengine tu, na bado kuna watu majina yao yanaendelea kutoka walifanya oral December last year
Shida sidhani kama wewe ni mgeni au mzoefu kuna kuitwa kazini moja kwa moja yaani utoke Oral uitwe kazini halfu kuna database sisi tunachooji first round kwanini inachelewa sasa unadhani kuna first round ya mwaka jana unadhani ambao hawajaitwa hadi leo.Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji
kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 23-06-2022 na tarehe 31-08-2023
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana.
Uvumilivu huu ninaousemea umeona hapo kuna Raia wamepiga oral interview tokea mwaka Jana hapo asali wamekula tarehe 27/10/2023
yahh apo nahisi wameconsider na databaseShida sidhani kama wewe ni mgeni au mzoefu kuna kuitwa kazini moja kwa moja yaani utoke Oral uitwe kazini halfu kuna database sisi tunachooji first round kwanini inachelewa sasa unadhani kuna first round ya mwaka jana unadhani ambao hawajaitwa hadi leo.
Mzee wanapokuambia kuanzia mwaka Jana hadi mwaka huu wan a consider na database pia
Mara zote kufanya hivyo.yahh apo nahisi wameconsider na database
iyo itakua ni interview ya kwenda mbinguniMara zote kufanya hivyo.
Sio kwamba Et kuna Mtu nafanya interview mwaka jana hajaitwa mpaka leo kazini
Vipi kuhusu swala la status mkuuSiwatishi ndugu yangu ila huo ndio ukweli, nyie mmekuja kwa kuchelewa humu na bahati nzuri au mbaya mmekuta almost 70% ya waliokuwa wanasubiria Placement wamepata
ila mtakutana nao tu wale ambao walitoka kwenye oral January na February na bado wanasubiri placement
Sasa vuta picha mtu ana miezi miwili tu tangu afanye Oral ashaongea maneno yote kamaliza, je akifikisha miezi 8 itakuaje?
Umeomba kazi umeitwa written umepiga, umeitwa Oral umepiga,or umeitwa na practical umepiga, hapo ni kuendelea na hiyo cycle hapo mwanzo mwisho
Zikitoka Ajira mpya unaenda unapiga unarudi kuskilizia huku unaendelea na issue zingine, hizi kazi za utumishi ukiziwekea hope sana unaweza kuwa kichaaa
Kwanza kwanini uweke hope sana ilhali na unajua mmeitwa watu 200 ila nafasi wanahitajika watu 40? Kwamba wewe ndio unajijua ni Bora saaaana kuliko hao 159 waliobakia?
Interview ni zali tu Mkuu, we kama umefika Oral basi kaa Kwa kutulia muda wowote Wananasa, haijarishi ulizingua au ulinyoosha vizuri kwa kiasi gani ila chochote kinaweza kutokea
Me nilitoaga ushuuda humu wa namna gani nina uhakika wa 80% kuwa kazi nishakosa, kwa sababu sio Siri sikujiona kama nimefanya vizuri, maswali nilikuwa najibu kwa points nusu nusu tu, hakuna ata swali moja nilijibu points zote
ila mwisho wa siku nilipata mchongo dakika za lala salama kabisa nikiwa naendelea na Mambo yangu mengine tu, na bado kuna watu majina yao yanaendelea kutoka walifanya oral December last year
..........Psrs wanajitahidi sana na wako fair sana, Vijana waendelee kuomba Mungu wenye mamlaka wasibadirishe gia angani taasisi ziajiri zenyewe itakuwa msiba.Yani navokuona humu kutwa na malalamiko yako basi me nadhania oral ulipiga ata mwezi wa 3 huko kumbe ni mwezi 8 tu Mkuu...!
Kuna raia zilipiga oral tangu mwezi wa 2 na hadi hivi sasa zinaskilizia placement kimya kimya
Sasa wewe miezi 2 tu ushaongea maneno yote umemaliza seriously? Na ata wakianza kutoa placement na ukachelewa kupata bado utaendelea kulaumu tu
Mfano, Mimi nilipiga oral mwezi wa 2, ulipofika mwezi wa 3 placement zikaanza kutoka, kila mwezi majina yanatoka, washkaji wanapata me holaaa, katika kundi langu la washkaji 8 nilibakia mwenyewe tu
Nikaendelea kufanya mambo yangu Tu, kwa sababu najua interviews ni mashindano na ni vigumu kushinda wote, sasa unapodhania wewe ndio una haki ya kupata kuliko wengine hilo linakuwa tatizo la Akili sasa
Nilipotezea issue za placement hadi nilipopigiwa simu mwezi wa 10 napewa hongera, na katika hao washkaji 8 hakuna ata mmoja aliepata kazi kwa connection
We fanya interview kisha endelea kuishi maisha yako uliyokuwa unaishi kabla hujafanya, amini kuwa kila Mtanzania ana haki ya kupata kazi ya utumishi ila sio lazima awe wewe