Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hili swala la matokeo ya oral ni muhimu sana hata kama sio kwa kuonesha exactly pass marks basi uwepo utaratibu wa kujua pass marks nilifikisha but ufinyu wa nafasi ndio umenifanya nikose placement.

Unakuta unajipa stress kufatilia placement kumbe hata pass mark ukufikisha lakini kama ukijua nilifeli ni rahisi kuulizia kwa wadau wao walijibu vipi ili next time nikiitwa usaili nijiupgrade kwa zile weakness ambazo nahisi zilinikosesha kufaulu.

Unakuta unaenda kupiga oral interview nyingine unarudia makosa yaleyale yaliyo kufelisha mwanzo yote hii ni kwasababu ukujua kama ulifeli au ulifaulu.

Mfano kwenye written mtu unafeli pepa ya kwanza unafatilia kwa wadau unagundua tatizo labda points zangu hazikuwa direct au niliandika sana mpaka muda ukaniishia bila kumaliza maswali hii inakufanya next pepa haurudii makosa ambayo uliyafanya mwanzoni hii imesaidia wengi kwenda kwenye oral baada ya kupokea ushauri kutoka kwa wadau

Lakini sasa hii ya mtu anafungia matokeo kabatini sio sawa hata kidogo na inatoa mianya ya kuyapika [emoji16] maana hakuna anaeyajua
 
Matokeo ya Oral we yatakusaidia nini? Kama sio kuongeza Lawama tu PSRS unafanya Interview unajua kabsa wanahitaji watu 40 mpo 200+ uoni matokeo ya Oral yakiwa wazi na ukakosa utakuwa na mtazamo hasi sana
Lawama kivipi sasa matokeo ya oral yametoka mimi nimekuwa wa 190 then wale wa 40 wa mwanzo wamechukuliwa sasa apo ukakasi unatoka wapi

Sasa hebu imagine napoteza muda kufatilia placement ambazo mimi nimekuwa wa 190 tena hata pass mark sijafikisha then ndio naongoza kwa kupiga kelele za placements humu jamiiforum nikiamini kwamba nilifaulu[emoji23]

Lakini kama ningejua nimekuwa wa 190 ningefocus na kujiupgade kwa interviews zingine.
 
Kuwa na imani sio shida tunahitaji waboreshe mchakato wao wa ajira uende speed from kuomba ,interview hadi kuitwa kazini atleast zisizidi miezi 3 lakini leo mchakato unatumia miezi 6 hadi 8
Kwa hilo kwa kweli ni changamoto inayohitaji utatuzi, tunatamani ata sis tutoe mapendekezo yetu ktk namna gani hii changamoto itatatuliwa lakin inakua ngumu kwasababu sote hatujui ni nin haswa sababu ya ucheleweshwaji huu, tunakisia tu huenda shida iko kwa
PSRS, waaajiri au serikali (masuala ya budget). Mkuu Utawala2025 rejea reply yako ya tarehe 20/10/2023 ktk Uzi huu jinsi ulivyoelezea sababu za kuchelewa kwa placement na at that time uliwatetea kabsa psrs kwa kusema wao hawana shida kabisa. Nin kimekutokea kwa hiz siku 13 umebadiri gia angani mzee saiz ni mwendo wa kuwakandia tu.
Nakuelewa lakin
 
Back
Top Bottom