Soma kanuni utaona pale.Kwa wale mliofanya usaili wenye Written, Practical na Oral.
Hizi alama zote wanajumlisha au wanachukua Practical na Oral tu?
Ipo hivi kwa mtihani wenye Practical wanajumlisha na oral.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma kanuni utaona pale.Kwa wale mliofanya usaili wenye Written, Practical na Oral.
Hizi alama zote wanajumlisha au wanachukua Practical na Oral tu?
Sio kweli..Sasa written ya nn ?
Wala practical ?
Wao wanaajiri kwa oral Pekee.?
Text zako unaandika ukiwa na stress Bro ukiwa Kwenye normal conditions nitag tuje tuendelee.Matokeo ya oral mimi yatanisaidia nijue muafaka wangu wa Lusaka ajira na ni haki yangu
Fatilia Status hizi uwaga zinatoa taarifa sema si ndy tunakazaga Akili tu. Ukiwaza Miujiza kutendekaLawama kivipi sasa matokeo ya oral yametoka mimi nimekuwa wa 190 then wale wa 40 wa mwanzo wamechukuliwa sasa apo ukakasi unatoka wapi
Sasa hebu imagine napoteza muda kufatilia placement ambazo mimi nimekuwa wa 190 tena hata pass mark sijafikisha then ndio naongoza kwa kupiga kelele za placements humu jamiiforum nikiamini kwamba nilifaulu[emoji23]
Lakini kama ningejua nimekuwa wa 190 ningefocus na kujiupgade kwa interviews zingine.
Kwani walikataa App sio yao?Leo wamekiri application inafanya kazi chini yao...
Maana wahudumu tukiuliza status kwenye app yao zinamaanisha nn wanatujibu wanavyotaka....
Tuzidi kuomba Mungu ipo siku wote tutatoboa wakati wa Mungu juu yako ukifika hakuna wa kuzuia View attachment 2802440
walikuwa na majibu ya hovyo wahudumu wanajibu majibu kiasi kwamba sio wanao run app wakati hoja humu ndani kuhusu statusKwani walikataa App sio yao?
Utumishi wanashindwa kuandaa mkeka wapamoja database kama watu 1800+ kama Mh:mhagama alivyosema...Kuna mkeka mfupi kama mkia wa mbuzi huko ,mkaangalie
okKuna mkeka mfupi kama mkia wa mbuzi huko ,mkaangalie
vuta subira kaka japo chungu lkn psrs ndio njia sahihi muda wako uko karibu.Bora taasisi ziajiri zenyewe tu
Hakuna usiku usiokucha kakaBro acha tu nimekta tamaa na hawa jamaa