Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa wale mliofanya usaili wenye Written, Practical na Oral.
Hizi alama zote wanajumlisha au wanachukua Practical na Oral tu?
Soma kanuni utaona pale.
Ipo hivi kwa mtihani wenye Practical wanajumlisha na oral.
 

Attachments

  • Screenshot_20231103-134729.jpg
    Screenshot_20231103-134729.jpg
    96.9 KB · Views: 11
Lawama kivipi sasa matokeo ya oral yametoka mimi nimekuwa wa 190 then wale wa 40 wa mwanzo wamechukuliwa sasa apo ukakasi unatoka wapi

Sasa hebu imagine napoteza muda kufatilia placement ambazo mimi nimekuwa wa 190 tena hata pass mark sijafikisha then ndio naongoza kwa kupiga kelele za placements humu jamiiforum nikiamini kwamba nilifaulu[emoji23]

Lakini kama ningejua nimekuwa wa 190 ningefocus na kujiupgade kwa interviews zingine.
Fatilia Status hizi uwaga zinatoa taarifa sema si ndy tunakazaga Akili tu. Ukiwaza Miujiza kutendeka
 
Leo wamekiri application inafanya kazi chini yao...
Maana wahudumu tukiuliza status kwenye app yao zinamaanisha nn wanatujibu wanavyotaka....
Tuzidi kuomba Mungu ipo siku wote tutatoboa wakati wa Mungu juu yako ukifika hakuna wa kuzuia
Screenshot_20231103-141729.jpg
 
Back
Top Bottom