Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nina imani na psrs, haijarishi awahishe placements au acheleweshe, it's not my concern,
jina langu tu kua kwenye makaburasha ya psrs najihisi niko mikono salama na wala sina pressure yoyote as long as stutas ina soma selected both app and web, iyo ina maanisha lolote laweza tokea kupata au kukosa. am ready for that

taasisi kuajiri wenyewe ni upuuzi. Huko ndo tumetoka, changamoto zilikua za kuchota na suruhisho pekee lililokuwepo lilikua ni kuunda chombo huru (psrs), msiturudishe huko Kama umeona kuna changamoto psrs hizo kelele unazopiga za psrs kunyang'anywa mamlaka yake ungezielekeza ktk ku push hizo changamoto zake zitatuliwe si lingekua jambo la maana zaid kama lengo lako n jema kwa masrahi ya wengi?
Ok basi tuseme hii ya kuhamishia mamlaka kweny taasis ndo suruhisho, je nako kwenye taasisi tukikuta kuna changamoto tuhamie wapi? Shake well your head before use
Mkuu Mimi ninaswali nje ya hiki Hivi inapaswa kuweka copy ya vyeti ambavyo ni colored au hii copy black and white ?
 
Nina imani na psrs, haijarishi awahishe placements au acheleweshe, it's not my concern,
jina langu tu kua kwenye makaburasha ya psrs najihisi niko mikono salama na wala sina pressure yoyote as long as stutas ina soma selected both app and web, iyo ina maanisha lolote laweza tokea kupata au kukosa. am ready for that

taasisi kuajiri wenyewe ni upuuzi. Huko ndo tumetoka, changamoto zilikua za kuchota na suruhisho pekee lililokuwepo lilikua ni kuunda chombo huru (psrs), msiturudishe huko Kama umeona kuna changamoto psrs hizo kelele unazopiga za psrs kunyang'anywa mamlaka yake ungezielekeza ktk ku push hizo changamoto zake zitatuliwe si lingekua jambo la maana zaid kama lengo lako n jema kwa masrahi ya wengi?
Ok basi tuseme hii ya kuhamishia mamlaka kweny taasis ndo suruhisho, je nako kwenye taasisi tukikuta kuna changamoto tuhamie wapi? Shake well your head before use
Kuwa na imani sio shida tunahitaji waboreshe mchakato wao wa ajira uende speed from kuomba ,interview hadi kuitwa kazini atleast zisizidi miezi 3 lakini leo mchakato unatumia miezi 6 hadi 8
 
..........Psrs wanajitahidi sana na wako fair sana, Vijana waendelee kuomba Mungu wenye mamlaka wasibadirishe gia angani taasisi ziajiri zenyewe itakuwa msiba.

inaonesha Psrs wanapata upinzani sana kutoka taasisi, endeleni kuwaombea na kuwapa moyo.

Hawa jamaa wakiwezeshwa vizuri mchakato utakuwa mfupi sana.
Wapunguziwe majukumu taasisi zingine ziajiri zenyewe wanazingua tu hata hao psrs
 
Vipi kuhusu swala la status mkuu
Swala la status kwakweli mjadala wake me sikuwahi kuuelewa, maana sidhani kama kuna indication yoyote inayoashiria we umepata au umekosa

ila kwa upande wangu tangu niitwe kwenye Oral mwezi wa 2, katika sehemu zote mbili katika App na Web ilibakia kuwa selected for Oral
 
Acha kukata tamaa, wengine tupo tangu mwezi wa nne na hatukati tamaaa
Yan mwez wa nane miezi miwili 2 anasema hataftalia tena hv anajua kuna watu wamefanya interview mwaka jana mwez kumi na moja wamekuja pata ajira mwaka huu mwez wa kumi...utumishi wako fair sana asee nadhan hata lengo lao ni jobless tupate ajira...wanangu nawashauri tuwe wavumilivu kauli ya "wakat wa MUNGU ni wakat sahihi" ukiiskia kwa mtu unaweza kuiona ya ki whacky sana tena uki witness wenzako wanapata na ww upo tu lakn kiuhalisia inafanya kz..tuwe wavumilivu na MUNGU atupe neema ya uvumilivu tutapata tu..tuskate tamaa
 
Mliofika masijala ya wazi Dodoma kuchukua barua.... mfano kama huna kitambulisho cha taifa /uraia , ni kitambulisho gani kingine wanaweza kupokea.

Nitangulize shukran kwenu wote wakuu.
Kingine ni kupigia Kura/Leseni/kitambulisho cha mkazi kwa wazanzibar/cheti cha form four ila nahisi kuanzia mwaka 2015 hivi hadi sasa
 
Asante naona una endana na mimi na.akili zangu.

Mimi sio kwamba sio mvumilivu au nina mhemko sana na hizo ajira wengine wanavyotuona .

Kiukwelj PSRS wabadilike kwenye mambo matatu.

1.TUNAHITAJI MATOKEO YA ORAL .

2.UCHELEWESHAJI WA MATOKEO YA USAILI hii ni tabia sugu haitakiwi ionekane hali ya kawaida haiwezekani mchakato wa ajira hadi kuita watu kazini utumie miezi miwili hadi mitatu pasipo na sababu za msingi.

3.INTERVIEW zifanyike KIKANDA
Matokeo ya Oral we yatakusaidia nini? Kama sio kuongeza Lawama tu PSRS unafanya Interview unajua kabsa wanahitaji watu 40 mpo 200+ uoni matokeo ya Oral yakiwa wazi na ukakosa utakuwa na mtazamo hasi sana
 
Yan mwez wa nane miezi miwili 2 anasema hataftalia tena hv anajua kuna watu wamefanya interview mwaka jana mwez kumi na moja wamekuja pata ajira mwaka huu mwez wa kumi...utumishi wako fair sana asee nadhan hata lengo lao ni jobless tupate ajira...wanangu nawashauri tuwe wavumilivu kauli ya "wakat wa MUNGU ni wakat sahihi" ukiiskia kwa mtu unaweza kuiona ya ki whacky sana tena uki witness wenzako wanapata na ww upo tu lakn kiuhalisia inafanya kz..tuwe wavumilivu na MUNGU atupe neema ya uvumilivu tutapata tu..tuskate tamaa
Kumbe nadhani wewe ni mgeni wa UTUMISHI hakuna Mtu afanye interview mwaka jana wa kumi aje kuitwa mwaka huu hao Mara nyingi wanakuwa wametoka kwenye database.

Wengi humu ndani tunachooji kuna kitu gani nyuma ya pazia inakuaje mchakato wa swali unatumia muda mrefu sana hadi kuita watu kazini hii ni changamoto wala sio kitu cha kawaida.

Mfano mimi niliomba kazi wa nne nimeitwa interview wa nane nimemaliza oral leo wa 11 hawaja toa tu majina je unaona hiyo ni hali ya kawaida.

PSRS Waiitathimini njia zao
 
Tukirudi kwenye Taasisi luajiri wenyewe naona SAWA kwa upande wangu.

Maana PSRS wanaonyesha udhaifu wa wazi Kabisa na hawataki kuwa update .

Kuna umuhimu gani wa kumpeleka kila msaili dodoma.

Kwanini wanachelewa kuita watu interview na kuita kazini je ni kitu cha kawaida wewe mdau hata kama mchakato ?

Je kwanini DATABASE wanasema unakaa mwaka mmoja na hapo hapo wanaanza kuhesabu siku ambayo interview imefanyika ilhali walibidj waanze kuhesabu database siku walioita watu kazini .

NIMEMALIZA
 
Matokeo ya oral mimi yatanisaidia nijue muafaka wangu wa Lusaka ajira na ni haki yangu
Najiuliza au labda zile status Selected for oral interview au not selected for oral interview baada ya kufanya oral ndo matokeo yenyewe ya oral ni sis ndo hatujui tu[emoji38]lakini uzuri wakongwe washatupa muongozo miezi mingi iliyopita kuwa status hazina maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom