Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,454
- 11,029
.......Tumchangie bando.itakua bando.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.......Tumchangie bando.itakua bando.
.........Daah!! Itakuwa na virus tayari.Mwambie aichek kwa muhasibu aliazima aingize movie.
Lawama kivipi sasa matokeo ya oral yametoka mimi nimekuwa wa 190 then wale wa 40 wa mwanzo wamechukuliwa sasa apo ukakasi unatoka wapiMatokeo ya Oral we yatakusaidia nini? Kama sio kuongeza Lawama tu PSRS unafanya Interview unajua kabsa wanahitaji watu 40 mpo 200+ uoni matokeo ya Oral yakiwa wazi na ukakosa utakuwa na mtazamo hasi sana
Kwa hilo kwa kweli ni changamoto inayohitaji utatuzi, tunatamani ata sis tutoe mapendekezo yetu ktk namna gani hii changamoto itatatuliwa lakin inakua ngumu kwasababu sote hatujui ni nin haswa sababu ya ucheleweshwaji huu, tunakisia tu huenda shida iko kwaKuwa na imani sio shida tunahitaji waboreshe mchakato wao wa ajira uende speed from kuomba ,interview hadi kuitwa kazini atleast zisizidi miezi 3 lakini leo mchakato unatumia miezi 6 hadi 8
na wakat mwingine mwaka na miez kadhaaaaa...Kuwa na imani sio shida tunahitaji waboreshe mchakato wao wa ajira uende speed from kuomba ,interview hadi kuitwa kazini atleast zisizidi miezi 3 lakini leo mchakato unatumia miezi 6 hadi 8
Hatimaye imekuwa.wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Oya jobless tunaishi kwa taaabu sana!! ni matesooo kwakweli!PSRS wamepumzika kutoa replacement hadi mwakani
Oral Pekee ndo inatumikaKwa wale mliofanya usaili wenye Written, Practical na Oral.
Hizi alama zote wanajumlisha au wanachukua Practical na Oral tu?
Serious mkuu?Oral Pekee ndo inatumika
Sasa written ya nn ?Serious mkuu?
Kuna maswali hutakiwi kumjibu mtu, wengine wanatuchora tu humu.Sasa written ya nn ?
Wala practical ?
Wao wanaajiri kwa oral Pekee.?