Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utumishi kusema ukweli tatizo linalotukera kwao ni kichwa cha hii thread /Uzi
Hata watu waliopata Placement humu watakiri hili .
Watu wanapata Placement kweli lakini ni kwa kusota sana ,hii ni uneccesary aisee na haitakiwi kuwa hivi .
Vitu vingi wanajitahidi kunyoosha mambo , ila hapo kwenye kuchelewesha Placement ni tatizo sugu ,na wamo humu na wana ID kabisa Sekretarieti ya Ajira .
Kwa kweli walifanyie kazi hili suala la sivyo maumivu , wanatengeneza uraibu na mental torture Kwa watu .
Kama taasisi wanajivuta psrs wapewe mandate ya kuwakoromea na kuwapeleka kinyapala hao ma HR wanaozembea kurudisha hizo nyaraka psrs
Continuous improvement ni muhimu ,hata private sectors huku, continuous improvement hiyo ni moja ya msingi wa organization yoyote au kampuni ili kukua na kuongeza ufanisi ,sasa kama organization nyeti kama psrs hawana mfumo wa kukaa na kuangalia tatizo sugu kama hilo na kulifanyia kazi ni tatizo ,na ndio itaendelea kutumiwa kama upenyo wa taasisi kujitoa kwenye mfumo wa PSRS na matokeo anayeumia ni msaka ajira / commoner wa kitaa ,maana hata huko kwenye taasisi na mifumo yao ya kuajiri tunajua Madudu yao .
 
Asante naona una endana na mimi na.akili zangu.

Mimi sio kwamba sio mvumilivu au nina mhemko sana na hizo ajira wengine wanavyotuona .

Kiukwelj PSRS wabadilike kwenye mambo matatu.

1.TUNAHITAJI MATOKEO YA ORAL .

2.UCHELEWESHAJI WA MATOKEO YA USAILI hii ni tabia sugu haitakiwi ionekane hali ya kawaida haiwezekani mchakato wa ajira hadi kuita watu kazini utumie miezi miwili hadi mitatu pasipo na sababu za msingi.

3.INTERVIEW zifanyike KIKANDA
 
Mtuelewe vijana Tunachojadili ni ucheleweshwaji wa mchakato wao kama taasisi zinawakwamisha basi waliangalie vizuri hili suala psrs na waweze kulirekebisha mapema sana.

Maana kuna kauzembe mahali.

Yaani psrs ni waajiri wa serikali ila wanajidhihirisha wameshindwa huu mchakato na wanaonyesha udhaifu wao.
 
Uvumilivu unaomgelea upi wewe?
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji
kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 23-06-2022 na tarehe 31-08-2023
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana.

Uvumilivu huu ninaousemea umeona hapo kuna Raia wamepiga oral interview tokea mwaka Jana hapo asali wamekula tarehe 27/10/2023
 
mbona unatutisha.yaani mwezi wa 2 mpaka wa kumi mmmhhh twafa.....[emoji1787][emoji1787]
Siwatishi ndugu yangu ila huo ndio ukweli, nyie mmekuja kwa kuchelewa humu na bahati nzuri au mbaya mmekuta almost 70% ya waliokuwa wanasubiria Placement wamepata

ila mtakutana nao tu wale ambao walitoka kwenye oral January na February na bado wanasubiri placement

Sasa vuta picha mtu ana miezi miwili tu tangu afanye Oral ashaongea maneno yote kamaliza, je akifikisha miezi 8 itakuaje?

Umeomba kazi umeitwa written umepiga, umeitwa Oral umepiga,or umeitwa na practical umepiga, hapo ni kuendelea na hiyo cycle hapo mwanzo mwisho

Zikitoka Ajira mpya unaenda unapiga unarudi kuskilizia huku unaendelea na issue zingine, hizi kazi za utumishi ukiziwekea hope sana unaweza kuwa kichaaa

Kwanza kwanini uweke hope sana ilhali na unajua mmeitwa watu 200 ila nafasi wanahitajika watu 40? Kwamba wewe ndio unajijua ni Bora saaaana kuliko hao 159 waliobakia?

Interview ni zali tu Mkuu, we kama umefika Oral basi kaa Kwa kutulia muda wowote Wananasa, haijarishi ulizingua au ulinyoosha vizuri kwa kiasi gani ila chochote kinaweza kutokea

Me nilitoaga ushuuda humu wa namna gani nina uhakika wa 80% kuwa kazi nishakosa, kwa sababu sio Siri sikujiona kama nimefanya vizuri, maswali nilikuwa najibu kwa points nusu nusu tu, hakuna ata swali moja nilijibu points zote

ila mwisho wa siku nilipata mchongo dakika za lala salama kabisa nikiwa naendelea na Mambo yangu mengine tu, na bado kuna watu majina yao yanaendelea kutoka walifanya oral December last year
 
Kikubwa baada ya kutoka kwenye oral interview tafuta ishu nyingine ufanye ukisubiria placement. Mwisho wa siku vyote ivyo ni ushindani kuna kupata directly, kuna kuingia kwenye database na kuna kukosa. Mapambano yaendelee kikubwa Zaidi ni kumuomba Mwenyezi Mungu tupate nafasi tulambe asali Sote humu. Nahakika Sote Tutalamba asali wakati Sahihi ukifika, Mungu ni mwema.
 
Siwatishi ndugu yangu ila huo ndio ukweli, nyie mmekuja kwa kuchelewa humu na bahati nzuri au mbaya mmekuta almost 70% ya waliokuwa wanasubiria Placement wamepata

ila mtakutana nao tu wale ambao walitoka kwenye oral January na February na bado wanasubiri placement

Sasa vuta picha mtu ana miezi miwili tu tangu afanye Oral ashaongea maneno yote kamaliza, je akifikisha miezi 8 itakuaje?

Umeomba kazi umeitwa written umepiga, umeitwa Oral umepiga,or umeitwa na practical umepiga, hapo ni kuendelea na hiyo cycle hapo mwanzo mwisho

Zikitoka Ajira mpya unaenda unapiga unarudi kuskilizia huku unaendelea na issue zingine, hizi kazi za utumishi ukiziwekea hope sana unaweza kuwa kichaaa

Kwanza kwanini uweke hope sana ilhali na unajua mmeitwa watu 200 ila nafasi wanahitajika watu 40? Kwamba wewe ndio unajijua ni Bora saaaana kuliko hao 159 waliobakia?

Interview ni zali tu Mkuu, we kama umefika Oral basi kaa Kwa kutulia muda wowote Wananasa, haijarishi ulizingua au ulinyoosha vizuri kwa kiasi gani ila chochote kinaweza kutokea

Me nilitoaga ushuuda humu wa namna gani nina uhakika wa 80% kuwa kazi nishakosa, kwa sababu sio Siri sikujiona kama nimefanya vizuri, maswali nilikuwa najibu kwa points nusu nusu tu, hakuna ata swali moja nilijibu points zote

ila mwisho wa siku nilipata mchongo dakika za lala salama kabisa nikiwa naendelea na Mambo yangu mengine tu, na bado kuna watu majina yao yanaendelea kutoka walifanya oral December last year
mmmhh sio mchezo.tatizo watu wapo mtaani hawana ishu alafu umri wa kustaafu unakaibia..
 
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji
kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 23-06-2022 na tarehe 31-08-2023
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana.

Uvumilivu huu ninaousemea umeona hapo kuna Raia wamepiga oral interview tokea mwaka Jana hapo asali wamekula tarehe 27/10/2023
Shida sidhani kama wewe ni mgeni au mzoefu kuna kuitwa kazini moja kwa moja yaani utoke Oral uitwe kazini halfu kuna database sisi tunachooji first round kwanini inachelewa sasa unadhani kuna first round ya mwaka jana unadhani ambao hawajaitwa hadi leo.

Mzee wanapokuambia kuanzia mwaka Jana hadi mwaka huu wan a consider na database pia
 
yahh apo nahisi wameconsider na database
 
Siwatishi ndugu yangu ila huo ndio ukweli, nyie mmekuja kwa kuchelewa humu na bahati nzuri au mbaya mmekuta almost 70% ya waliokuwa wanasubiria Placement wamepata

ila mtakutana nao tu wale ambao walitoka kwenye oral January na February na bado wanasubiri placement

Sasa vuta picha mtu ana miezi miwili tu tangu afanye Oral ashaongea maneno yote kamaliza, je akifikisha miezi 8 itakuaje?

Umeomba kazi umeitwa written umepiga, umeitwa Oral umepiga,or umeitwa na practical umepiga, hapo ni kuendelea na hiyo cycle hapo mwanzo mwisho

Zikitoka Ajira mpya unaenda unapiga unarudi kuskilizia huku unaendelea na issue zingine, hizi kazi za utumishi ukiziwekea hope sana unaweza kuwa kichaaa

Kwanza kwanini uweke hope sana ilhali na unajua mmeitwa watu 200 ila nafasi wanahitajika watu 40? Kwamba wewe ndio unajijua ni Bora saaaana kuliko hao 159 waliobakia?

Interview ni zali tu Mkuu, we kama umefika Oral basi kaa Kwa kutulia muda wowote Wananasa, haijarishi ulizingua au ulinyoosha vizuri kwa kiasi gani ila chochote kinaweza kutokea

Me nilitoaga ushuuda humu wa namna gani nina uhakika wa 80% kuwa kazi nishakosa, kwa sababu sio Siri sikujiona kama nimefanya vizuri, maswali nilikuwa najibu kwa points nusu nusu tu, hakuna ata swali moja nilijibu points zote

ila mwisho wa siku nilipata mchongo dakika za lala salama kabisa nikiwa naendelea na Mambo yangu mengine tu, na bado kuna watu majina yao yanaendelea kutoka walifanya oral December last year
Vipi kuhusu swala la status mkuu
 
Yani navokuona humu kutwa na malalamiko yako basi me nadhania oral ulipiga ata mwezi wa 3 huko kumbe ni mwezi 8 tu Mkuu...!

Kuna raia zilipiga oral tangu mwezi wa 2 na hadi hivi sasa zinaskilizia placement kimya kimya

Sasa wewe miezi 2 tu ushaongea maneno yote umemaliza seriously? Na ata wakianza kutoa placement na ukachelewa kupata bado utaendelea kulaumu tu

Mfano, Mimi nilipiga oral mwezi wa 2, ulipofika mwezi wa 3 placement zikaanza kutoka, kila mwezi majina yanatoka, washkaji wanapata me holaaa, katika kundi langu la washkaji 8 nilibakia mwenyewe tu

Nikaendelea kufanya mambo yangu Tu, kwa sababu najua interviews ni mashindano na ni vigumu kushinda wote, sasa unapodhania wewe ndio una haki ya kupata kuliko wengine hilo linakuwa tatizo la Akili sasa

Nilipotezea issue za placement hadi nilipopigiwa simu mwezi wa 10 napewa hongera, na katika hao washkaji 8 hakuna ata mmoja aliepata kazi kwa connection

We fanya interview kisha endelea kuishi maisha yako uliyokuwa unaishi kabla hujafanya, amini kuwa kila Mtanzania ana haki ya kupata kazi ya utumishi ila sio lazima awe wewe
..........Psrs wanajitahidi sana na wako fair sana, Vijana waendelee kuomba Mungu wenye mamlaka wasibadirishe gia angani taasisi ziajiri zenyewe itakuwa msiba.

inaonesha Psrs wanapata upinzani sana kutoka taasisi, endeleni kuwaombea na kuwapa moyo.

Hawa jamaa wakiwezeshwa vizuri mchakato utakuwa mfupi sana.
 
Nina imani na psrs, haijarishi awahishe placements au acheleweshe, it's not my concern,
jina langu tu kua kwenye makaburasha ya psrs najihisi niko mikono salama na wala sina pressure yoyote as long as stutas ina soma selected both app and web, iyo ina maanisha lolote laweza tokea kupata au kukosa. am ready for that

taasisi kuajiri wenyewe ni upuuzi. Huko ndo tumetoka, changamoto zilikua za kuchota na suruhisho pekee lililokuwepo lilikua ni kuunda chombo huru (psrs), msiturudishe huko Kama umeona kuna changamoto psrs hizo kelele unazopiga za psrs kunyang'anywa mamlaka yake ungezielekeza ktk ku push hizo changamoto zake zitatuliwe si lingekua jambo la maana zaid kama lengo lako n jema kwa masrahi ya wengi?
Ok basi tuseme hii ya kuhamishia mamlaka kweny taasis ndo suruhisho, je nako kwenye taasisi tukikuta kuna changamoto tuhamie wapi? Shake well your head before use
 
Back
Top Bottom