CODE-04
JF-Expert Member
- Oct 17, 2023
- 961
- 2,716
MUNGU NI MWEMA MKUU, NAAMINI TUTAPATA WOTE HUMU!!PSRS Wanazidi kumuangusha Mama(rais) Upendo alionao kwa vijana wake anapoona wanatahabika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MUNGU NI MWEMA MKUU, NAAMINI TUTAPATA WOTE HUMU!!PSRS Wanazidi kumuangusha Mama(rais) Upendo alionao kwa vijana wake anapoona wanatahabika
😄😄Kwamba IT afisa kilimoHongereni mliolamba asali, mkawe watumishi wema.
IT Afisa kilimo nn maana daah!!
Kwa hizi mvua acha tu wajaze mikeka..😄😄Kwamba IT afisa kilimo
Database inaishaje wakati wengine ss bado!!Hongera sana mliolamba asali mkawe Watumishi wema....
Naona Database imeisha [emoji849][emoji849][emoji849]...
Mungu atuteteee maanaaa.....
Lengo PSRS wanalofanya kurukaruka mikeka wanamaana gan...Database inaishaje wakati wengine ss bado!!
Ndio sh ngapi hii mkuu?Chuo cha Muhimbili kina asali tamu kuliko vyuo vyote Tanzania. Warden II, anaanza na PGSS 10. Hii hela ni zaidi ya salary ya Tutorial Assisstant vyuo vingine
Hapo mwngn mpaka Yesu arudi!😂kuna mkeka uko.ila una watu 15 🤣
ni kituko.Hapo mwngn mpaka Yesu arudi!😂
Sina hakika na exactly figure ya PGSS 10, ila kama Warden II na non teaching staff wa vyuo vingine wanaanza na PGSS 6 ambayo ni 1.2M na TA ni 1.6M hapo unaweza kuona PGSS 10 ni kiasi gani lazima ivuke 1.8MNdio sh ngapi hii mkuu?