Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kila la kheri wakuu wangu kwenye upambanaji. hatuna sababu ya kukata tamaa mapema itafikia wakati wengi wetu tutapata michongo kwa wakati sahihi.

pia wakuu,turudisheni ule mfumo ukitoka tu written unaweka maswali yaliyo toka pepa . ile ilikua nzuri sana kuwapa miongozo wadau wapya
Kabisaa wazo nzuri

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mfano, nliomba alowahi Fanya system analysis written and practical anisaidie. Nkaona kmya tu. Sio vizuri kama ushawahi Fanya msaidie mwenzio nawe Mungu atakujaalia

Back
Top Bottom