innojembe
Senior Member
- Mar 20, 2023
- 186
- 403
Hongera kwa kuwa shortlisted.
Mbinu
1. Jiamini unaweza maana hapa tayari una tetemeka
2. Soma sana Mambo yanayohusiana na kada yako Ikiwa ni pamoja na majukumu yako vizuri Kama yalivyoainishwa kwenye tangazo
3. Angalau jitahidi field experience uwe nayo
4. Jibu maswali Kama yalivyoulizwa usiweke porojo na maelezo Kama vile unaelezea Vita ya majimaji
Aidha, Mtangulize Mungu kwa Kila hatua ya maandalizi
Ni hayo tu wataongezea wengine.
Hizi taarifa zilinshtua that’s why nika shake (vibrates zikawa nyingi[emoji38]) I hope I’m ntafanya vema nikiyashika haya unioniambia na mengine mengi yanayokuja