ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Shida Iko kwako Mkuu Kwan vigezo vyao vinasemaje? Usiwalaumu Utumishi kwa kutokuzingatia kwako vigezo orodheshwa.Oya wanajamii wezangu , ety leo sijawa shortlist na utumishi kisa sija akiki cheti cha kuzaliwa kwa mwanasheria , lkn cheti changu nili akiki na Rita , sasa naanza kuona dhuluma ya utumishi.
Nmefanya saili 2 hadi leo ndio utumishi wakatae kuni shortlist kisa sija akiki chet kwa wakili akika hii ni dhuluma ya wazi kabisa.
Kama ndio njia waliotumia kupunguza watu sio sawa kabisa.
Dhuluma zimeanza mapemaa