Rammyq
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 269
- 773
Siku Yako ipo karibu mkuu. Keep prayingDAAH, MM NIMESHAKATA TAMAA AISEE! NIMEFATILIA KWA MDA MREFU SANA KAZI ZA UTUMISHI ILA KILA SIKU ZINAVYOZIDI KWENDA NDIO MAMBO YANAZIDI KUWA MEUSI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku Yako ipo karibu mkuu. Keep prayingDAAH, MM NIMESHAKATA TAMAA AISEE! NIMEFATILIA KWA MDA MREFU SANA KAZI ZA UTUMISHI ILA KILA SIKU ZINAVYOZIDI KWENDA NDIO MAMBO YANAZIDI KUWA MEUSI.
HatariPengine watoto wao hawako kwenye hizi foleni za kusaka ajira.
UNABAHATI IT LEO HUJAWAJAZA MASUKA ,TUNGEKUKATAAA....najua una flash bado mkononi umalizie pdf ya week hii .. lakini kwann umepewa pdf 4 utoe moja ??? Unashida gani???Mshika Flash Loading placement 🔍........Ole wako utuletee za Madereva Tunakukataaaa leo
🙏🏽Siku Yako ipo karibu mkuu. Keep praying
Ngumu mnooo IT ni watu wa ziada nchi hiiBabu wamezidiiii Yani kila ukifungua Madereva na Manurse kwani Kada nyengine sio watu??? Ushawahi ona Mkeka wa Kada ya IT wapo Hata 7 kwenye Mkeka Mmoja??
Kwani kada yangu tumewakosea Nini utumishi maana na sisi tulifanya 04/10 🧐🧐Pdf imetoka tena imeshiba ila dah kwangu bila bila,aisee ila one day itakaa sawa tu...hongera kwenye wote mliolamba asali kwnye pdf hii
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNachoweza kusema ni hivi "Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi"
Kwa zaidi ya miaka 5 nipo kitaa, nimeshafanya interviews 5 (kada yetu ni zile za kwa mwaka tangazo 1[emoji114])
Interviews 2 nilifanikiwa kuingia oral ila zote nilikosa direct placement, hii ya mwisho tulifanya mwaka jana November, sasa ni zaidi ya mwaka na mimi nimechomoka jana from database.
Vijana tusikate tamaa kwenye kupambania ndoto zetu ila pia tupambane kwenye kutafuta sehemu za kujishikiza maana huku hatujui siku wala saa
Mwisho kabisa status kwenye Web na App kote "Selected for Oral"
Congratulations,Nachoweza kusema ni hivi "Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi"
Kwa zaidi ya miaka 5 nipo kitaa, nimeshafanya interviews 5 (kada yetu ni zile za kwa mwaka tangazo 1[emoji114])
Interviews 2 nilifanikiwa kuingia oral ila zote nilikosa direct placement, hii ya mwisho tulifanya mwaka jana November, sasa ni zaidi ya mwaka na mimi nimechomoka jana from database.
Vijana tusikate tamaa kwenye kupambania ndoto zetu ila pia tupambane kwenye kutafuta sehemu za kujishikiza maana huku hatujui siku wala saa
Mwisho kabisa status kwenye Web na App kote "Selected for Oral"
Asante mkuuHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Asante mkuuCongratulations,
Mimi Nina selected for ORAL Tano, japo nishapata Kazi halmashauri kama accountant ii
Mwamba upoo...kumbe ulishalamba asali halmashauri...hongeraCongratulations,
Mimi Nina selected for ORAL Tano, japo nishapata Kazi halmashauri kama accountant ii
Hongera chiefAsante mkuu
Mwana IT mwenzangu unasbria mkeka gani mwenetuUNABAHATI IT LEO HUJAWAJAZA MASUKA ,TUNGEKUKATAAA....najua una flash bado mkononi umalizie pdf ya week hii .. lakini kwann umepewa pdf 4 utoe moja ??? Unashida gani???
Noma sana mikeka inatok sioni IT kbsaa dahDah sis wa IT sjiu tmesahaukika hata Adverts hakunaa Toka mwezi wa saba
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Inauma sanaNoma sana mikeka inatok sioni IT kbsaa dah