Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nachoweza kusema ni hivi "Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi"

Kwa zaidi ya miaka 5 nipo kitaa, nimeshafanya interviews 5 (kada yetu ni zile za kwa mwaka tangazo 1[emoji114])

Interviews 2 nilifanikiwa kuingia oral ila zote nilikosa direct placement, hii ya mwisho tulifanya mwaka jana November, sasa ni zaidi ya mwaka na mimi nimechomoka jana from database.

Vijana tusikate tamaa kwenye kupambania ndoto zetu ila pia tupambane kwenye kutafuta sehemu za kujishikiza maana huku hatujui siku wala saa

Mwisho kabisa status kwenye Web na App kote "Selected for Oral"
 
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Nachoweza kusema ni hivi "Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi"

Kwa zaidi ya miaka 5 nipo kitaa, nimeshafanya interviews 5 (kada yetu ni zile za kwa mwaka tangazo 1[emoji114])

Interviews 2 nilifanikiwa kuingia oral ila zote nilikosa direct placement, hii ya mwisho tulifanya mwaka jana November, sasa ni zaidi ya mwaka na mimi nimechomoka jana from database.

Vijana tusikate tamaa kwenye kupambania ndoto zetu ila pia tupambane kwenye kutafuta sehemu za kujishikiza maana huku hatujui siku wala saa

Mwisho kabisa status kwenye Web na App kote "Selected for Oral"
Congratulations,
Mimi Nina selected for ORAL Tano, japo nishapata Kazi halmashauri kama accountant ii
 
UNABAHATI IT LEO HUJAWAJAZA MASUKA ,TUNGEKUKATAAA....najua una flash bado mkononi umalizie pdf ya week hii .. lakini kwann umepewa pdf 4 utoe moja ??? Unashida gani???
Mwana IT mwenzangu unasbria mkeka gani mwenetu
 
Back
Top Bottom