El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
wahandisi naona tumekumbukwa kiaina 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo Ma nurses na CO's kwenye PDF zilizotoka Ila kwa kada niliyofanya sijaona hata mmoja kwenye PDF zote za tarehe 04/10/2023Yani hizo Taasisi unazoziona Ndio MDA & LGA ...yani kama kuna wenzio ulikuwa unawajua wengine wapo humo
Au wewe ni KADA GANI??
mbona kama mmesahaulika hivi alafu wamedandia mwezi wa 10utumishi kumbukeni na MDAs za mwez wa sita bas khaaaaa...!!
ndio nashangaa sjui hii inamaana gani..mbona kama mmesahaulika hivi alafu wamedandia mwezi wa 10
Mim ni mmoja wa waliofanya pepa za TRA niliexpirience utofauti mkubwa sana wa saili zinazoendeshwa na psrs,kwanza psrs msailiwa wanamtreat as if ni mtu duni anaestahiki kujiwa vyvyte poor customer service,lkn pale TRA hakuna kufokewa wala maelekzo ya ajbu ajbu kila mtu yuko peacefully kbsa,ndani ya pannel unapewa chance ya kujielezea mpk ww mwenywe uridhike psrs pale oral zao za kibabe babe kidgo unaskia next question....so binafsi naona bora ss tutest na namna nyingine
Dakika 3 mbona nyingi ni dakika Moja tu😄😄Nasiki PSRS oral interview swali moja sijui dakika 3 uwe umemaliza kujieleza
Interview ya psrs ni ya kuviziana hupewi nafasi ya kutosha kifupi ukisahau point zko ujue imeenda hiyooDakika 3 mbona nyingi ni dakika Moja tu😄😄
Wote na za november MDA &LGAutumishi kumbukeni na MDAs za mwez wa sita bas khaaaaa...!!
Tarehe 11 mnafanya written watu 1000+
Tarehe 12 majibu ya written yanatoka
Hapo kuna muujiza gani unafanyika kusahihisha na kupitia usahihishaji hadi majibu kutoka kwa wasahiliwa??
Dakika 3 mbona nyingi ni dakika Moja tu[emoji1][emoji1]
Interview ya psrs ni ya kuviziana hupewi nafasi ya kutosha kifupi ukisahau point zko ujue imeenda hiyoo
Hata huyo Electrical Engineer mmoja aliyepangwa Stamico kwenye majina ya MDA and LGA tulizofanya mwezi mwezi wa sita hilo jina hamna .utumishi kumbukeni na MDAs za mwez wa sita bas khaaaaa...!!
Wale hawanaga muda Sana. Mfano swali umeulizwa introduce yourself, academic& professional background. Asa apo utatumia dakika ngapi yaan zikizidi 2[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]acha uongo bas
Mwambie kijana huyo hizi za dakika sijui kazitoa wapInterview ya psrs ni ya kuviziana hupewi nafasi ya kutosha kifupi ukisahau point zko ujue imeenda hiyoo
mkuu uje hapa utoe ushuhuda,nimekuona TARIKaka uzipata utani PM..
mfwende sawadogo