Gotzon
JF-Expert Member
- Feb 25, 2021
- 244
- 305
Eti 'utumishi wasitoe placement ili tuheshimiane' yaani tumuheshimu kisa kapata kazi 'hewa' halafu hata hatumjui, anatuongezea au kutupunguzia nini? Utoto na ujinga umemjaaAmekosa bando mpumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti 'utumishi wasitoe placement ili tuheshimiane' yaani tumuheshimu kisa kapata kazi 'hewa' halafu hata hatumjui, anatuongezea au kutupunguzia nini? Utoto na ujinga umemjaaAmekosa bando mpumbavu
Kwenye web inabadilika pia?hiyo ni app
Jaribu tena wakati mwingine mkuu, umeliwa kichwa, usikate tamaahiyo ni app
web mara nyingi haichange ila app sasa ndio kipeleWADAU VIPI WEB NAYO INABADILIKA? APP YANGU MUDA TU HAIFUNGUKI
Thanks for infoweb mara nyingi haichange ila app sasa ndio kipele
sisi tuliitwa interview 230 nafasi 2HIVI ni nini kilichopelekea utumishi kuita watu 159 ORAL kwenye kada ya COMMITTEE CLERK hili hali nafasi ni 10.
hayo ni matokeo tayari
hiyo sikufika oral walichukua watu 4
Sasa hiyo ya makatibu written walifanya kama 500 hivi, Cha ajabu oral wakaita watu 159 na nafasi walizotangaza ni 10 tu.Wengi walitegemea oral watachukua si zaidi ya watu 70hiyo sikufika oral walichukua watu 4
Damn🫢sisi tuliitwa interview 230 nafasi 2
Hapo idadi wanayotaka ni kubwa zaidi maana Kwa Sheria zao nafasi 1 inagambaniwa na watu 3Sasa hiyo ya makatibu written walifanya kama 500 hivi, Cha ajabu oral wakaita watu 159 na nafasi walizotangaza ni 10 tu.Wengi walitegemea oral watachukua si zaidi ya watu 70
Sent using Jamii Forums mobile app
2024 iingie haraka maana mkeka wa makatibu unaweza kuwa mrefu kama wa CDO[emoji23]Hapo idadi wanayotaka ni kubwa zaidi maana Kwa Sheria zao nafasi 1 inagambaniwa na watu 3
wadau wanasema not selected for oral interview ni hatari2024 iingie haraka maana mkeka wa makatibu unaweza kuwa mrefu kama wa CDO[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kaka, muhimu kulia na Mungu tuutumishi hawaeleweki wale watu.
ndio kilichobakiKweli kaka, muhimu kulia na Mungu tu