Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Ndio maana ake..
๐๐๐ Kakimbia halmashauri!!?
Tumebaki 6 tunaojua tupo kwenye Ajira portal na tunasubiri kulamba asali za TAASISI...!!!
Tulikuwa 10 na 4 washasepa.
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana ake..
๐๐๐ Kakimbia halmashauri!!?
Napambana sanaaaNa wewe jitahidi kufanya namna uweze kujaribu ajira portal mkuu
Msaidizi wa mkuu wa Wilaya huyo.Wadau huyu afisa tarafa( division officer) maisha yanakuaje?
Kwa ufupi ulikuwa huna uhitaji tu Mkuu wa ajira.Napambana sanaaa
Cheki hii ๐๐๐ siku seriuos
View attachment 2863857
Ila ni za muda mrefu ๐๐๐
View attachment 2863863
Ila kwasasa Niko serious, japo na apply zile za U-director na managers..!!!
Ya mwisho nilituma 27/01/2022 ya u-seriuos NIMETUMA 18/10/2023
Kwahiyo nilikaa mwaka na kitu bila kutuma chochoteee.
Nishafanya certifications Zotee na attachment zotee nimeweka.
Niko serious balaaa.
#YNWA
Em tupe za ndani palee msd mkuuHao waliopata MSD kwa kweli Mungu ashukuriwe. Pale ni patamu mno kuliko utamu wenyewe. Kesho jumapili wakasali kuanzia misa ya asubuhi hadi ya watoto mchana
Kama Kuna ukweliKwa ufupi ulikuwa huna uhitaji tu Mkuu wa ajira.
Mi akili yangu huwa inawaza BOT na Wizara ya Fedha tuuuu.Hao waliopata MSD kwa kweli Mungu ashukuriwe. Pale ni patamu mno kuliko utamu wenyewe. Kesho jumapili wakasali kuanzia misa ya asubuhi hadi ya watoto mchana
Mungu akakuongoze Mkuu lengo lako litimieKama Kuna ukweli
Maana nilituma ombi 02/11/2021 nikaja kutuma tena 27/01/2022 nikalala nikaamka 18/10/2023
Ila hii ya 2023 nilikua serious na Kuna dogo anajitolea ofisini kwetu ndio alisimamia show nzima ya certification mahakamani na kila kitu.
Sasa hivi nimempa Kazi, akiona tu shavu linanihusu anitonyeee..!!!
#YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aibu sana kupambana na vijana wakati umri umesogea. Uko 38-42 unaenda kwenye interview na vitoto vya 24-27. Siku niko pale CIVE nasubiri kuingia nikakandwe nikasema ngoja nitafute kibinti kimoja ili nikitoka kukandwa na mimi nikakikande. Ile kukisogelea tu nasikia "Shikamoo"
Mood yote ikakata palepale
Kaka endelea kidogo haswa kuhusu maslahi na statusMsaidizi wa mkuu wa Wilaya huyo.
#YNWA
Hizo suruali ni kama ile ya Ngoswe?[emoji2][emoji2][emoji2]Acha kabisa na vile nilivaa koti na suruali zetu za halmashauri
Halmashauri ni mwendo wa kadeti za BOSS,HUGO,ZARA n.k bila kusahau shati la draft mkuu.Hizo suruali ni kama ile ya Ngoswe?[emoji2][emoji2][emoji2]
Mzee mwenzangu nakuombea sana uchomoke halmashaur uje kutupa muongozoMi akili yangu huwa inawaza BOT na Wizara ya Fedha tuuuu.
Sijui kwanini huwa nawaza huku tuuu.
#YNWA
Ukiomba kutokea wilayani napo inabidi upitishe kwa md?Ndio maana ake.
Tumebaki 6 tunaojua tupo kwenye Ajira portal na tunasubiri kulamba asali za TAASISI...!!!
Tulikuwa 10 na 4 washasepa.
#YNWA
Ukiwa serious lazima upige hatua na mwishowe upate unachokihitaji.Napambana sanaaa
Cheki hii [emoji116][emoji116][emoji116] siku seriuos
View attachment 2863857
Ila ni za muda mrefu [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2863863
Ila kwasasa Niko serious, japo na apply zile za U-director na managers..!!!
Ya mwisho nilituma 27/01/2022 ya u-seriuos NIMETUMA 18/10/2023
Kwahiyo nilikaa mwaka na kitu bila kutuma chochoteee.
Nishafanya certifications Zotee na attachment zotee nimeweka.
Niko serious balaaa.
#YNWA
Iko hivi,Kaka endelea kidogo haswa kuhusu maslahi na status
Uko sahihi.Iko hivi,
Kuna watendaji wa
Vijiji na watendaji wa kata.
Kata ni muunganiko wa vijiji kadhaa na
Tarafa ni muunganiko wa kata kadhaa
Hivyo, utakuwa Boss wa watendaji wa Kata zilizopo chini ya tarafa yako
Utashirikiana kwa ukaribu Sana na ofisi ya DC/DAS Kama uko halmashauri.
Sio huko tu, kuna vitaasisi vya kawaida tu ila vina asali nzito sana.Mi akili yangu huwa inawaza BOT na Wizara ya Fedha tuuuu.
Sijui kwanini huwa nawaza huku tuuu.
#YNWA
BOT itoe hapo huwezi kuingia pale kwa usaili. Mimi kuna jamaa namfahamu Division 1.8 O-level Kibaha. Division 1.3 EGM Pugu boys. UDSM B.Com Account GPA 4.2. CPA T.Mi akili yangu huwa inawaza BOT na Wizara ya Fedha tuuuu.
Sijui kwanini huwa nawaza huku tuuu.
#YNWA