Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

January 10/11 mwaka 2023 kama sikosei ni siku ambayo nilipata matumaini makubwa Sana baada ya kuufwatilia huu Uzi kimya kimya baada ya kumuona mwamba, mwamasishaji mkubwaa wa Uzi kuingia kwenye pipa la asali, hazikupita siku nyingi January 12 mwezi wa 1 mwaka 2023 na Mimi niliitwa kwenye interview kupitia shuhuda za wadau nilipata ujasiri maana nilishakata tamaa nikahudhuria iyo interview ilikuwa ni written, nikatoboa vizuri sana, February 15 tukaitwa oral placement zikaanza tokea anzia April mwishoni na sasa nakaribia kufikisha mwaka kama ni database inakaribia kuexpire, yote kwa yote jitihada ni muhimu sana, huu Uzi unamatumaini makubwa Sana kwa jobless maana ulinifanya na Mimi nijaribu tena jitihada zangu mpaka kutoboa oral interview, kikubwa tusikate tamaa tuzidishe jitihada Ipo siku na sisi tutatoa shuhuda, mapambano yaendelee
Endelea kuwa na subira. Kama placement zilianza April mwishoni(hapo tuhesabu ni early May) muda wa data base utadumu hadi May/June mwanzoni mwaka huu. Kwa hiyo database yako bado ipo active sana.

Muda ukifika utapata nafasi, nina imani oral uliifanya vizuri.

Kundi langu tuliloenda Oral kwa pamoja hadi sasa tushapata nafasi wote ingawa kwenye Oral tulikuwa tunapambania nafasi 1, ila wengine walikuja kuanza kuchomolewa kutoka data base.
 
Wanahitajika 10, oral tumeitwa 160 sema neno
 
Wote ambao walifaulu oral watapata nafasi kwa muda wao.

PSRS wanapoita watu wengi oral huku nafasi zikiwa chache sio kwamba wanataka kuwapotezea watu muda, hapana.

Hapo inakuwa ni Advantage kwa pande zote mbili(PSRS na Jobless). PSRS wataokoa muda wa kusaili mara kwa mara kwa nafasi zile zile kwa kuweka hao akiba ili waje kuwapangia nafasi baadae. Jobless wanakuwa wanaokolewa pia kwenye ishu ya muda na gharama za kwenda kufanya usaili tena.

Kwahiyo pindi ukiitwa kwenye usaili, kuwa na malengo 2 hata kama nafasi ni 1.

Lengo la kwanza, kafanye usaili ili upatw hiyo nafasi kwa muda huo.

Lengo la pili, kafanye usaili ili ubaki database endapo lengo la kwanza likikwama. Kukaa database ni ushindi kulinganisha na yule aliyeogopa kwenda kufanya kisa nafasi ni 1 na akaamua kutoenda ili asipoteze muda na pesa.

Mimi nilijiwekea hayo malengo 2 hasa lengo la pili baada ya kukandwa saili za mwanzo(saili 3). Bahati nzuri nikaangukia kwenye lengo la kwanza, pia hata kama ningekwama kwenye lengo la kwanza ningekuwa nishatimiza lengo la pili hadi sasa maana tayari kundi letu lote tushapangiwa kazi
 
Ubarikiwe...
 
Mkuu ubarikiwe Sana Sana sana binafsi napata nguvu Sana ninapoona comment zako. kwenye huu Uzi mkuu uwepo wako ni wamuhimu Sana, ubarikiwe Sana mkuu
 
Back
Top Bottom