Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna wakati huwa nawaza labda kada za Ardhi huwa hazina Database.

Direct placement ikishatoka ndio basi tena, kinachobaki ni kusubiri tangazi lingine la ajira na siyo kutumainia database.
Mbona kuna mikeka kama miwili wametoa kutoka Database wamepelekwa Wizara ya ardhi tena wengi tu
 
Kama kuna mtu Aliapply zile nafasi za Nmb basi afungue email yake, kwa wale wenye android waende kwenye neno "SPAM" wataona meseji ya advert kwa ajili ya aptitude test na pia wenye iphone waende sehemu iliyoandikwa "JUNK" pia wataona iyo meseji kwa ajili ya aptitude test. Test ni siku ya Jumanne ila mda upo tofauti tofauti.
Hawa jamaa aptitude test yao dk 20 duu...
 
[emoji23][emoji23],hivi matokeo ya written yanatokag sa ngap? Maana jana Co kwa paper lile khaaaa,ilihitaj critical thinking uku unajifkir unasikia zmebak 20 minutes
Tayari kule, vimulimuli vya matokeo vishawaka
 
Wanaita ila ukiona tangazo leo, subiri kuanzia miaka 3+ mbele kuona lingine. Sio surveyors, land officer, valuer au carto.
Tuendelee kujitafuta kwenye kampuni za watu na kuzulumu wananchi. UNASTAAFU UNAJITOLEA.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,hamna tofauti sana na Sisi Electrical engineers
Tupambane wakuu na harakati zingine kitaa pia ,maana unaweza anza kuota mvi huku ukiwasubiri Utumishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tayari kule, vimulimuli vya matokeo vishawaka
Ni shidaaa,naomben tips for oral interview kuna yale general questions like,tell us about your educational background?let say ili ndo swali unalijibu vp unaanza kuelezea level ip ya elimu uliyofka?
 
Ni shidaaa,naomben tips for oral interview kuna yale general questions like,tell us about your educational background?let say ili ndo swali unalijibu vp unaanza kuelezea level ip ya elimu uliyofka?
Tips kidogo...
image_30622028-6d8e-4d47-b9fc-737c2bd571c320230106_131449.jpg
 
Back
Top Bottom