Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hili zoba limechafua hali ya hewa na kufanya huu uzi kama wa mateja
Aisee kama utumishi ndio wanatoa Placement Kwa Majitu mapuuzi kama huyu dogo zezeta ,kuna haja ya kuchunguza authenticity ya mfumo wa kuajiri na aina ya watu wanaopata hizi ajira
 
eehh [emoji1787] [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu changudoa moderators wamempa kibano nini ? , maana nimeona huu ni ujinga sasa ,
Engineer mzima nakaa kuangalia pimbi malaya mmoja akiharibu utulivu humu .
Haiwezekani
 
🤣 🤣 watakua wamemla kichwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu changudoa moderators wamempa kibano nini ? , maana nimeona huu ni ujinga sasa ,
Engineer mzima nakaa kuangalia pimbi malaya mmoja akiharibu utulivu humu .
Haiwezekani
Punguzeni maneno makali......
Huyo mtu lilikuwa swala dogo ni kutomjibu ...
 
Habari za muda wakuu, kuna tangazo la nafasi za kazi za muda tume ya taifa ya uchaguzi. Naomba kuuliza je ni lazima uwe umesoma fani za IT/ICT ndio unaweza chukuliwa au pia hata kama una uzoefu wa computer na cheti cha short course unaweza pata nafasi... mwenye ufahamu au ambae ameshawahi omba hizi nafasi.
 
Mkuu kwenye tangazo kuna Kila ktu..

Nmeona kwa mwenye cheti cha computer anaruhusiwa kuomba
 
Back
Top Bottom