El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
yaani nilivyoona kimulimuli tu tayari nikachomeka pasi kwenye umeme kwaajili ya nguo za safari kumbe.kumbe pdf lenyewe fupi kama kidumu cha gongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣yaani nilivyoona kimulimuli tu tayari nikachomeka pasi kwenye umeme kwaajili ya nguo za safari kumbe.kumbe pdf lenyewe fupi kama kidumu cha gongo
Lakini kwenye tangazo mbona sioni sehemu inayosema lazima uwe na cheti cha JKT?Usijidanganye vigezo vyote vnazngatiwa,written unafanya ata oral unawez kufka ila utatemwa kwnye oral vyeti vnakaguliwa ukiw kwny oral pale na jeshi
Inagoma sehemu gani mkuuMkuu naingia kwenye account ya taesa inagoma, nisaidie tafadhali namna ulivyopata interview
Mkuu tuma maombi, mwaka juzi kuna wadau 2 waliramba asali na hawakupita jkt. Utakuja kunishukuru baadaeLakini kwenye tangazo mbona sioni sehemu inayosema lazima uwe na cheti cha JKT?
Daah kwenye umri ni uonevu bora wangeruhus wote kugombania hizo nafasUkiingia kwenye portal yao kipengele cha umri kipo ukiweka taarifa zako so kama umeshavuka umri ina kutema.
Hili Tangazo limekaa kimkakati....Mkuu tuma maombi, mwaka juzi kuna wadau 2 waliramba asali na hawakupita jkt. Utakuja kunishukuru baadae
Aaah wee siko tayari kusaga nauli kaka😅 bora nitemane nayo tuMkuu tuma maombi, mwaka juzi kuna wadau 2 waliramba asali na hawakupita jkt. Utakuja kunishukuru baadae
Hilo la kiswahili unalipata wapi tenaMatangazo yapo kwa lugha mbili kiingereza na kiswahili,tangazo la kiingereza halina Jkt ila tangazo la kiswahili linataka Jkt.
Hilo la kiswahili unalipata wapi tena
Ok pow nmeliona mwanang, wanazingua nao na maJKT yao hayoKwenye website yao.
Wanasimamiaga wenyewe mwanzo mwisho, ni kama ilivyokuwa tra tuHili Tangazo limekaa kimkakati....
Kuna watu watapangiwa na Utumishi kwenda Takukuru...
Ha ha haaaa, haina nomaAaah wee siko tayari kusaga nauli kaka[emoji28] bora nitemane nayo tu
Tutafka tumechoka sanammmh IT utakuja kunitoa roho.yaani nilishaanza kupiga simu kimbinyiko kumbe hata kada yangu tu haipo..