Gotzon
JF-Expert Member
- Feb 25, 2021
- 244
- 305
Ni vituko, badala ya kupost pdf mpya!naona wameamua kukiwasha tena 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vituko, badala ya kupost pdf mpya!naona wameamua kukiwasha tena 🤣 🤣
Kweli kabisa mkuuSekretarieti inashindwa Nini hata kama taasisi haijajiandaa, toa matokeo ya waliopata kazi ila waambie wasubiri kupangiwa vituo.... hiyo ni rahisi mtu kusubiri hata mwaka.
Utaratibu wa sa ivi mtu unaweza kuwa unalalamika placement zinachelewa kumbe oral yenyewe ulipata 15
Kuna pdf kama ya leo ni ya uwongo kwa kweli[emoji23][emoji23]Ni vituko, badala ya kupost pdf mpya!
Sema uwezi jua muhim tuwe na subira uwezi jua next placement itakuwa zito sana.Kweli kabisa mkuu
leo wamezinguaNi vituko, badala ya kupost pdf mpya!
[emoji23]wanatest mitambo labdaleo wamezingua
mmhh ila leo wamewatoa majobless mchezoni sio poa..[emoji23]wanatest mitambo labda
Perdeim mzee watu wanakula hela.wazee wa received mnaitwa uko mkachome nauli..
hii speed ya kuita watu interview si mchezoPerdeim mzee watu wanakula hela.
Wanaingiza hela maana si wanalipwa Per deimhii speed ya kuita watu interview si mchezo
tena wasilete mazoea kabisaaa matako yaowazee wa received mnaitwa uko mkachome nauli..
ndo maana wako bize kila siku kuita watu mbwa hawaWanaingiza hela maana si wanalipwa Per deim
dah mbingu wataisikia tu..Wanaingiza hela maana si wanalipwa Per deim
Unalipwaje perdiem na kazi unafanyia eneo ofisi yako ilipo.Wanaingiza hela maana si wanalipwa Per deim
Kwani unadhani wote wanaosimamia unadhani Dodoma ni main center ya kazi zao.Unalipwaje perdiem na kazi unafanyia eneo ofisi yako ilipo.
Sio kada zote . Kuna baadhi zina written na oral hasa zile zenye watu wengi. Na kuna nyingine zina pratical na oral.Watu wamerahisishiwa Yan waloitwa kwenye interview leo wote watapiga oral tu,mean hakuna written...bahati ilioje
kada yangu naona written na oralWatu wamerahisishiwa Yan waloitwa kwenye interview leo wote watapiga oral tu,mean hakuna written...bahati ilioje
Bro thank you, umenifanya niwe na matumain ya kusubiria placement ya tutorial assistant kwa hamu kubwaWakuu naona wengi wenu humu mnapotoshana sana kuhusu kupata Ajira na uhusiano na Mungu
Ajira sio Mambo ya kiroho, ni mambo ya Matendo, naona mnaanza kupeana Hope ambazo haziwezi kuwasaidia katika hili
Kuna zaidi ya 70% ya wanaopata Ajira utumishi hawajawai kwenda kwenye mkesha,hawajawai Kufunga mfungo mtukukufu,na wala hawajawai kuwa swala 5 na wala hawajui mafuta ya mwamposa yanafananaje
Mtu atapata kazi alafu atakwambia ni Mungu tu kusema ukweli me nilifanya vibaya ila niliamua kumrudia Mungu,niliamua kumlilia Mungu,niliamua kusema na Mungu
Come on brothers and sisters, hii mitihani ya Utumishi sio rahisi kama tunavofikiria na wala sio migumu kama tunavyoichukulia, ukitaka kujua mitihani ni migumu angalia marks za Written, kuna watu wanapata hadi 1 au 9 na alijiandaa huyo usidhani yeye kazi alikuwa haitaki
Kupata Ajira ni swala la Performance, Ukipata kazi jipige kifuani kwa sababu ulipafomu kuliko wengine, hizi mark's za oral ni Siri ila ukweli ni kwamba ukitaka kujua reality we angalia mark's za kwenye Written basi utajua kuwa ata kwenye Oral kuna watu wanafeli pia tena sana tu
Unaweza kujihisi wewe hukufanya vizuri ila uhalisia ni kwamba kuna aliefanya vibaya zaidi kuliko wewe, hizo marks zako 40 ndio zimekupa kazi na kumnyima aliepata 20 kushuka chini
Mara ya pili hii nasisitiza wekeza katika kufika Oral, kwenye Written tumia mbinu zozote ambazo haziwezi kukuharibia ili ufike Oral, weka kijiji,igilizia nk ili Tu ufike oral, kwenye oral kuna watu wengi sana hujitoa wenyewe kwenye mashindano kwa sababu mbali mbali
Ukikaa na panelists wanaosimamia oral wakakupa tathmini ya watahiniwa unaweza kucheka na kushangaa inakuaje mtu ana bachelor ya kitu Fulani na hawezi kujielezea, kuna muda hadi wao wanafanya adjustment tu ili waweze kupata watu wanaowataka
Kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral ata sauti waga hazitoki ila hawezi kuja kukwambia,kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral wanaishia tu kusema Dahh/Mungu wangu hakuna point wanakumbuka ila hatokwambia, kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral waga wanakumbuka point 1 Tu kila swali ila hatokwambia, kuna kundi kubwa la watu kwenye oral waga wanapanick na kuanza kulia Tu hadi dakika zake zinaisha ila hawatokwambia
Ndomana ukichunguza kwenye Oral kuna ambao waga wanakaa sana na kuna ambao waga wanakaa kidogo Tu unashangaa katoka, kiufupi ni kwamba wanafunzi wa kitanzania kwenye Oral tuko shallow sana, zaidi ya sana kwahiyo jitajihidi sana kujitofautisha na wengine ili wewe uwe katika kundi la wenye unafuu
Kwahiyo kwenye kundi la watu wa namna hiyo ukitokea wewe ambae utaweza angalau kujibu points 2 kwenye kila swali basi unapata kazi yako kiroho Safi bila shida yoyote maana wewe ulikuwa ni mwenye nafuu kuliko wengine, utumishi wakiamua kufata taratibu zote basi watarudia sana kutangaza kazi
Mungu hawezi kubadili 25% ikawa 60% Mungu hawezi kubadili point ya Uongo ikawa ya Kweli, Mungu hawezi kubadili kingereza chako cha hovyo kikawa kizuri katika chumba cha mtihani, mtataka kumpa lawama za bure tu Mungu wenu
Kwakuwa watu watakaopanick kwenye oral lazima wawepo tu hiyo ni pie, basi wewe tumia udhaifu huo kujinoa vile utaona inafaa ili usije kuwa katika kundi la wanaopanick hovyo, jua ni namna gani utaweza kupunguza pressure,jua ni namna gani utaweza kuwa relaxed during interview, ikiwezekana jifunze body posture and body language
Nakupeni Siri tu ambayo itawasaidieni, Asilimia 60% ya wanaopata kazi utumishi sio kwa sababu walifikisha cut off points, lahasha kwa sababu wao walikuwa na unafuu sana kuliko wengine, tuliopata kazi kupitia utumishi tunalijua hili, kuna muda hadi unaona Huruma kwani aliekusaidia kwenye written hadi ukaingia kwenye oral yeye anakosa kazi naww unapata na unajua yeye ni Bora mara 100 zaidi yako