Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kama wewe sio wa kada zifuatazo aiseee ukipata kazi utumishi katoe sadaka.
  1. afisa kilimo,mifugo
  2. librarian
  3. dereva
  4. afisa tehama
  5. Afisa hesabu
  6. afisa sheria
  7. fundi sanifu,technician
  8. afisa maendeleo ya jamii
  9. record management
  10. mpishi
Hatari mno
 
Sio kwel wana ununuzi Kila pdf ikitoka wapo
 
kama wewe sio wa kada zifuatazo aiseee ukipata kazi utumishi katoe sadaka.
  1. afisa kilimo,mifugo
  2. librarian
  3. dereva
  4. afisa tehama
  5. Afisa hesabu
  6. afisa sheria
  7. fundi sanifu,technician
  8. afisa maendeleo ya jamii
  9. record management
  10. mpishi
Planning officers nao walipita na upepo wao
 
kama wewe sio wa kada zifuatazo aiseee ukipata kazi utumishi katoe sadaka.
  1. afisa kilimo,mifugo
  2. librarian
  3. dereva
  4. afisa tehama
  5. Afisa hesabu
  6. afisa sheria
  7. fundi sanifu,technician
  8. afisa maendeleo ya jamii
  9. record management
  10. mpishi
Unawajua wauguzi ,madaktari, kuna mkeka haujawahi kuwaona ?
 
Kuna sisi wa public administration, hr baba tunaisoma PSPR mtuhurumie jaman
 
kama wewe sio wa kada zifuatazo aiseee ukipata kazi utumishi katoe sadaka.
  1. afisa kilimo,mifugo
  2. librarian
  3. dereva
  4. afisa tehama
  5. Afisa hesabu
  6. afisa sheria
  7. fundi sanifu,technician
  8. afisa maendeleo ya jamii
  9. record management
  10. mpishi
wengine tumekua wapenzi watazamaji
 
Utumishi dodoma imebadilika...hii kwa niliyoyaona dodoma..
1: wamekagua vyeti vizuri sana..hata wale ambao wanatatizo waliruhusiwa kufanya paper kwanza alafu ndio wataenda kurekebisha...hii ajabu
2: Cutoff imekuwa 50, yaani database administrator tulikuwa 162 hv na practical tukawa 100...hii ajabu
Wanatia moyo wa kurudi dodoma
 
Shida kubwa iko kwa placement, basi nayo waifanyinye kazi chapu
 
Back
Top Bottom