Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 dah aisee sio poaYaani jamaa wanagawa kipondo cha mbwa koko huko[emoji23][emoji23][emoji23]
mmh inamaana watu wote walishaitwa kumbe mbona mie sijawahi kuona mtu wa planning kwenye pdfWatu kumi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jobless unaangalia ad matokeo tu usiyoyafanyia paperNILIKUA NAANGALIA MATOKEO MBALIMBALI, UTUMISHI WAMEZIDI KUA WAKALI.....UDOM HAKUENDEKI WADAU
[emoji38][emoji38][emoji38]daaa tumekoma ssJobless wa nchi hii mpaka mseme , bado hamjasema vizuri [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Hatari mnokama wewe sio wa kada zifuatazo aiseee ukipata kazi utumishi katoe sadaka.
- afisa kilimo,mifugo
- librarian
- dereva
- afisa tehama
- Afisa hesabu
- afisa sheria
- fundi sanifu,technician
- afisa maendeleo ya jamii
- record management
- mpishi
Sio kwel wana ununuzi Kila pdf ikitoka wapokama wewe sio wa kada zifuatazo aiseee ukipata kazi utumishi katoe sadaka.
- afisa kilimo,mifugo
- librarian
- dereva
- afisa tehama
- Afisa hesabu
- afisa sheria
- fundi sanifu,technician
- afisa maendeleo ya jamii
- record management
- mpishi
Eeh procurement nayo iko vzur ss ktk soko la ajiraSio kwel wana ununuzi Kila pdf ikitoka wapo
Planning officers nao walipita na upepo waokama wewe sio wa kada zifuatazo aiseee ukipata kazi utumishi katoe sadaka.
- afisa kilimo,mifugo
- librarian
- dereva
- afisa tehama
- Afisa hesabu
- afisa sheria
- fundi sanifu,technician
- afisa maendeleo ya jamii
- record management
- mpishi
yah na procurement nilisahauSio kwel wana ununuzi Kila pdf ikitoka wapo
yah na procurent nilisauEeh procurement nayo iko vzur ss ktk soko la ajira
mmh itakua ulivuma kidogo sanaPlanning officers nao walipita na upepo wao
Unawajua wauguzi ,madaktari, kuna mkeka haujawahi kuwaona ?kama wewe sio wa kada zifuatazo aiseee ukipata kazi utumishi katoe sadaka.
- afisa kilimo,mifugo
- librarian
- dereva
- afisa tehama
- Afisa hesabu
- afisa sheria
- fundi sanifu,technician
- afisa maendeleo ya jamii
- record management
- mpishi
Ni huzuni kwa kweliKuna sisi wa public administration, hr baba tunaisoma PSPR mtuhurumie jaman
wengine tumekua wapenzi watazamajikama wewe sio wa kada zifuatazo aiseee ukipata kazi utumishi katoe sadaka.
- afisa kilimo,mifugo
- librarian
- dereva
- afisa tehama
- Afisa hesabu
- afisa sheria
- fundi sanifu,technician
- afisa maendeleo ya jamii
- record management
- mpishi
Shida kubwa iko kwa placement, basi nayo waifanyinye kazi chapuUtumishi dodoma imebadilika...hii kwa niliyoyaona dodoma..
1: wamekagua vyeti vizuri sana..hata wale ambao wanatatizo waliruhusiwa kufanya paper kwanza alafu ndio wataenda kurekebisha...hii ajabu
2: Cutoff imekuwa 50, yaani database administrator tulikuwa 162 hv na practical tukawa 100...hii ajabu
Wanatia moyo wa kurudi dodoma