El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
ninachoshauli ikimaliza interview we chungulia placement tu kuchungulia status ni kujitafutia kifo 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh mbona nasikia Ardhi ukifanya usaili wa mahojiano after two weeks unapigiwa simu ya kuripoti kazini au utaratibu umebadilika mwaka huuBado ndio tunasubiria now imefika miez 2 na siku kadhaa
Labda umebadilika maana hakuna aliepigiwa cmDuh mbona nasikia Ardhi ukifanya usaili wa mahojiano after two weeks unapigiwa simu ya kuripoti kazini au utaratibu umebadilika mwaka huu
Hahah dah kwel aisee huku ni kujiumizaninachoshauli ikimaliza interview we chungulia placement tu kuchungulia status ni kujitafutia kifo 🤣 🤣
ila huwezi jua maana hamna mtu mwenye uhakika asilimia 100 unaweza kushangaa siku umetokea kwenye pdf tena ndio wakwanzaHahah dah kwel aisee huku ni kujiumiza
Aisee nitakuja kuleta ushuhuda humu ndani sio kwa presh ninayopatq hv sasaila huwezi jua maana hamna mtu mwenye uhakika asilimia 100 unaweza kushangaa siku umetokea kwenye pdf tena ndio wakwanza
sio wewe tu ndugu yangu.kila jobless humu hali tete mambo hayaelewekiAisee nitakuja kuleta ushuhuda humu ndani sio kwa presh ninayopatq hv sasa
ubaguzi au ni creteria wao wanataka talent itakayodumu muda mrefu katika utumishi siyo kila siku kufanya recruitment na ukiangalia ni taasisi hii inafanya vetting you how much they gonna spend/?Hili swala la umri waliangalie tena sababu sasa huu ni ubaguzi.
😂😂😂Upepo Fulani hivi kipupwee kwa mbaliii😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] then unaenda kuipark pale inatazama ufukwe ili ipate mzunguko mwanana wa hewa
Inategemea,si unajua sometimes Mungu hamtup mja wake🤌Kwa hiyo huko ni kushika kibunda chako kila mwisho wa mwezi basi, hamna maokoto mengine...? Ila si haba huku mtaani tunabadilisha style ya za mikao tuu nyama ni ngumu mno!
Yani shukuru sanaDuu bora sijapelekwa halmashauri
Nilipwe wananiogopa🤣,nimekuta wenzangu wana mwaka na zaidi na hawajalipwasalary to salary, mwenyekiti wa chama ni boss wako,mtendaji,diwani nk ni boss wako.
kwanza niulize hela ya kujikimu umelipwa.
😂😂😂😂Poleni aseeh lakini extra duty si
Lazima nitoke yanj ntakomaa tu hamna namnaJaribu kuanza taratibu za kuhama uende sehemu nyingine(halmashauri nyingine).
Huo mchakato sio rahisi ila ukikomaa unaweza kuhama.
Subiri uthibitishwe kwanza kazini
Boss nakuja halimashauri kwako nikupe pole aseeh😂😂😂Nilipwe wananiogopa🤣,nimekuta wenzangu wana mwaka na zaidi na hawajalipwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upepo Fulani hivi kipupwee kwa mbaliii[emoji23][emoji23]
Uanze kupambana mapema ili utoke hukoLazima nitoke yanj ntakomaa tu hamna namna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya utupe lokesheni sasa tuje tuzamie kipindi hiki cha Sikukuu
[/QUOTE
😂😂😂 Location muhimu sana hahhhh na Wi-Fi ya bureee