Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii mada ya status haijawahi kupoa Wala kufikiwa mwafaka
Wengine ''Selected for Oral interview'' now ni miezi sita imepita na haijawahi kuchange. na placement wanatoa jina moja baada ya mwezi. Yaan hata idadi ya nafasi zilizotangazwa bado hazijafikiwa tokea waanze kuita watu kazini.
Baba Jane bye bye🧐🧐
 
Hili swala la umri waliangalie tena sababu sasa huu ni ubaguzi.
ubaguzi au ni creteria wao wanataka talent itakayodumu muda mrefu katika utumishi siyo kila siku kufanya recruitment na ukiangalia ni taasisi hii inafanya vetting you how much they gonna spend/?
 
Hivi haya maswali yalikua ni ya Bachelor au Technician Certificate?
 

Attachments

  • Screenshot_20240326-103814.jpg
    Screenshot_20240326-103814.jpg
    215.9 KB · Views: 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] then unaenda kuipark pale inatazama ufukwe ili ipate mzunguko mwanana wa hewa
😂😂😂Upepo Fulani hivi kipupwee kwa mbaliii😂😂
 
Kwa hiyo huko ni kushika kibunda chako kila mwisho wa mwezi basi, hamna maokoto mengine...? Ila si haba huku mtaani tunabadilisha style ya za mikao tuu nyama ni ngumu mno!
Inategemea,si unajua sometimes Mungu hamtup mja wake🤌
 
Back
Top Bottom