Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Karudi kwa kasi sana
Wee jamaa naona umerudi baada ya kuvuta subaru😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee jamaa naona umerudi baada ya kuvuta subaru😂😂😂
Wakikata vyote +HESLB
NET AMOUNT 519,000.00
NI huzuni kwa kweli😅😅
Kwani ulifanya oral yake au written yake?Nina stress sana leo, nimeingia kweny account yangu ya ajira portal app nimekuta NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW na ndio nilikua naisubiria pekee 😢
Arudi bana, mchango wake kabla ya kupotea ulikuwa muhimu sanaKarudi kwa kasi sana
certificate hayoHivi haya maswali yalikua ni ya Bachelor au Technician Certificate?
Hii thread itaishi sana nikikumbuka sisi wote tulikuwaga jobless😂😂😂.Arudi bana, mchango wake kabla ya kupotea ulikuwa muhimu sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii thread itaishi sana nikikumbuka sisi wote tulikuwaga jobless[emoji23][emoji23][emoji23].
Sema namtafuta jamaa moja alinicrush kwenye Uzi mmoja niliombaga maswali ya interview sasahivi nafikiri tupo nae kitengo kimoja[emoji23][emoji23]
😂😂😂Nitampata nishawajua wenye viburi wapo kama wawili sasa mmoja wao lazima ndo huyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jilipue umfahamu.
placement ikitoka inabaki hivyo mazimaKwahy wakuu naomba kuuliza, ikiwa selected for oral interview Siku Ukiwa kwenye placement hy status inabadilika au na inaandikwa nn.?
status inabaki ivyoivyo ila ikibadilika kabla ya placement sasa ndio kimbembe..🤣 🤣Kwahy wakuu naomba kuuliza, ikiwa selected for oral interview Siku Ukiwa kwenye placement hy status inabadilika au na inaandikwa nn.?
Yaaan yote kwa yote Mkuu mm nipo radhi nilipwe chochote Ila tu nipate Check number kwanza.Si huko nje ya ajira mkuu?
Hizi calculation umezitoa wapi😁😁😁
Ingia kwanza chiefu ata halmashauri poa tu kwa kuanzia utapambana kuhama kwa sasa usiangalie mshahara angalia kupata check namba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shauri yako utajikanga mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]Nitampata nishawajua wenye viburi wapo kama wawili sasa mmoja wao lazima ndo huyo
Oral yakeKwani ulifanya oral yake au written yake?
aisee yani mie hata wakinipa ujanitor fresh tu halmashauri uko napaona kama nchi ya ahadi..Yaaan yote kwa yote Mkuu mm nipo radhi nilipwe chochote Ila tu nipate Check number kwanza.
Huo mshahara ni kwamba tujue tu huko Halmashauri palivo.
Mmh hawa walitoboa kweli😅certificate hayo
Afanye kweli asee tukale pasaka kwa furahaIT bado anaitafakari kauli ya boss wake Mh.Simbachawene huku anashushi juice ya zabibu Wakati huo kashafuta faili(Database) la Taasisi waliojitoa ......!!!!!
IT ikikupendeza jioni achie mkeka mzito tukale Pasaka kwa matumaini...........!!!