Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii thread itaishi sana nikikumbuka sisi wote tulikuwaga jobless[emoji23][emoji23][emoji23].
Sema namtafuta jamaa moja alinicrush kwenye Uzi mmoja niliombaga maswali ya interview sasahivi nafikiri tupo nae kitengo kimoja[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jilipue umfahamu.
 
Kwahy wakuu naomba kuuliza, ikiwa selected for oral interview Siku Ukiwa kwenye placement hy status inabadilika au na inaandikwa nn.?
 
Si huko nje ya ajira mkuu?
Hizi calculation umezitoa wapi😁😁😁
Ingia kwanza chiefu ata halmashauri poa tu kwa kuanzia utapambana kuhama kwa sasa usiangalie mshahara angalia kupata check namba
Yaaan yote kwa yote Mkuu mm nipo radhi nilipwe chochote Ila tu nipate Check number kwanza.
Huo mshahara ni kwamba tujue tu huko Halmashauri palivo.
 
IT bado anaitafakari kauli ya boss wake Mh.Simbachawene huku anashushi juice ya zabibu Wakati huo kashafuta faili(Database) la Taasisi waliojitoa ......!!!!!
IT ikikupendeza jioni achie mkeka mzito tukale Pasaka kwa matumaini...........!!!
Afanye kweli asee tukale pasaka kwa furaha
 
Back
Top Bottom