fyegu
Member
- Oct 17, 2017
- 74
- 115
Sisi ilikuwa Tar 11 Dec 2023. Japo apo katikati Kuna watu wamechukuliwa naisi now wamefika 10 lkn hawazidi 15Mlifanya lini mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi ilikuwa Tar 11 Dec 2023. Japo apo katikati Kuna watu wamechukuliwa naisi now wamefika 10 lkn hawazidi 15Mlifanya lini mkuu
🤣🤣🤣Ila la leo angalau angalauUkiona taasis mbalimbali za umma unawez kudhani kuna dude liloshiba kumbe ni balaa zito😂
🤣🤣🤣Ila la leo angalau angalauUkiona taasis mbalimbali za umma unawez kudhani kuna dude liloshiba kumbe ni balaa zito😂
Umelamba asali nn bossHivi masjara pale weekend wanafungua?
Hao mining engineers hizo zote ni nafasi zilitangazwa au wengine ni wa data base?!Mining engineers wamelamba asali
Uyo mshikaji wangu aliepata tume alifanya mala ya kwanza akaingia oral lkn akuitwa mwajiri alikuwa uyo uyo tume, baadae tena akaingia oral kupitia stamico now kapangiwa tume Sasa sijui ni database au usaili wa stamicoHao mining engineers hizo zote ni nafasi zilitangazwa au wengine ni wa data base?!
Ulikuwa usaili wa tume ulifanyika tar 8/3 pamoja na stamico stamiko hawajatoa bado hope alifanya usaili wa tume na sio stamico,Uyo mshikaji wangu aliepata tume alifanya mala ya kwanza akaingia oral lkn akuitwa mwajiri alikuwa uyo uyo tume, baadae tena akaingia oral kupitia stamico now kapangiwa tume Sasa sijui ni database au usaili wa stamico
Hapana kuna mdau kalamba asali sasa yupo wenge balaaUmelamba asali nn boss
Itakuwa na db..watu 29 hvHao mining engineers hizo zote ni nafasi zilitangazwa au wengine ni wa data base?!
Hongera..ukawe mtumishi mwemaLeo silali🤕
Mkuu umelamba asali?Leo silali🤕