Dah tumuombe Mungu abless maana hawa utumishi hawatabiliki kabisa.Wewe andaa suti tu ajira zitamwagwa sana kabla ya 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah tumuombe Mungu abless maana hawa utumishi hawatabiliki kabisa.Wewe andaa suti tu ajira zitamwagwa sana kabla ya 2025
Una jipya gn ndugu yngu😂sasa mtu kashafaulu usahili wa vitendo oral ya nini..
sina jipya naona leo uzi umepoa watu wanateseka kimyakimya. 🤣 🤣Una jipya gn ndugu yngu😂
Hongera sana mwanetuKuna pdf uko wanangu wa nguvu. Mungu mwema nmetoboaaaaaa
Hongera sana mkuu NAMI na El marabiosh naona zamu yetu ya kupanda kimbinyiko haipo mbali inshaaalahKuna pdf uko wanangu wa nguvu. Mungu mwema nmetoboaaaaaa
Hongera Sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapyaKuna pdf uko wanangu wa nguvu. Mungu mwema nmetoboaaaaaa
Hongera karibu tuwatumikie wananchiKuna pdf uko wanangu wa nguvu. Mungu mwema nmetoboaaaaaa
Hongera sanaaaaa, nauli ya oral imegeuka nauli ya kuchukua baruaa!Kuna pdf uko wanangu wa nguvu. Mungu mwema nmetoboaaaaaa
🤣 🤣 ngoja nikafnye booking siti ya mbele kabisa nyuma ya dereva pale.jumatatu ile inyaokuja nadhan tunang'oa dom..Hongera sana mkuu NAMI na El marabiosh naona zamu yetu ya kupanda kimbinyiko haipo mbali inshaaalah
Daaah ndgu wangechelewa kdg kesho interview ingekuhusu,anyway hongera sana,wish you all the best 😇Kuna pdf uko wanangu wa nguvu. Mungu mwema nmetoboaaaaaa
Hongera sana,kila la kheri mkuuNashuru Mungu leo pdf hili nimetoboa, nimeomba kazi mara 6 nimeitwa usaili kazi 5 nimefanikiwa kuingia oral 4 leo hii nimetoboa kutokea data base (sijui ni data base ya interview gani) namshukuru Mungu lets keep it, MUNGU ni mwema hakika, nami sitaacha kushuhudia mambo makuu ya MUNGU,
Tufanye saili tumuombe Mungu.
Amina.